Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari wadau? Kwa muda mrefu sana kuna jambo huwa limekuwa likijitokeza mara kwa mara kwangu, kwamba mara nyingi nikiwa naangalia majira kwenye saa ya mkononi au simu nakuta masaa na dakika...
6 Reactions
57 Replies
922 Views
Mimi ni kijana ninaetarajia kumaliza chuo mwezi wa 7 ( ualimu digrii) Nataka kuendelea na masters baada kumaliza, na KOZI nazopendelea kuzisoma masters ni hizi zifuatazo; 1. Parasitology and...
1 Reactions
19 Replies
137 Views
Ndugu Viongozi wetu Imefika wakati sasa Tanzania tunahitaji sheria ya Msamaria mwema au kwa kiingereza Good Samaritan Law. Sheria hii itawezesha kuokoa maisha ya watu wengi waliojeruhiwa, hasa na...
7 Reactions
9 Replies
88 Views
Mmeachana na Benchika nimefurahi sana, ana cv kubwa lakn uwezo wa kawaida tu, hana mbinu wala ufundi zaidi ya dharau, kebehi na kiburi. Wengi hamjui lkn Benchika ana shida, kiuongozi hayawezi...
1 Reactions
3 Replies
79 Views
Ni Joe Kusaga tena… Waswahili husema mwenye nacho huongezewa, sio sahihi. Mwenye nacho hujiongeza ndipo huongezewa. Mfanyabiashara na mwekezaji mkubwa nchini aliyejikitika zaidi kwenye tasnia ya...
11 Reactions
85 Replies
816 Views
GENTAMYCINE kwa Maswali yangu Matatu Matakatifu niliyomuandalia Mtu Mmoja nina uhakika nikimaliza Kumuuliza nafukuzwa TZ.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ramani hii inaonesha jinsi Mchezaji wa Real Madrid alivyofunga goli la ushindi katika Fainali ya Copa del Rey 2014 dhidi ya Barcelona, mechi hiyo inayofahamika kwa jina la El Clásico ilimalizika...
2 Reactions
16 Replies
616 Views
Mtu mmoja aliniuliza kwa nini mara kadhaa umekuwa ukiwasema wanawake wanapoonesha udhaifu. nlimjibu ni sababu napenda sana wanawake kuliko kitu kingine chochote. katika maisha ya sasa vijana...
77 Reactions
164 Replies
25K Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
228 Reactions
401K Replies
32M Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
512K Replies
29M Views

FORUM STATS

Threads
1,849,226
Posts
49,512,388
Members
667,023
Latest member
Safisha99
Back
Top Bottom