Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari wanajamvi, Mimi nikiwa km mdau wa kupiga vyombo ningependa niwawakilishe wala masanga wenzangu tunaopenda kuhudhuria kwenye hizi Baa na Lounge kupata moja mbili Bariiiiiiiidi. Naona...
0 Reactions
20 Replies
274 Views
Hivi mshawahi kujiuliza unapita mahali mtu kafungua frem au duka hata hamna wateja unajiuliza huyu mtu huwa anaweza vipi kulipa kodi wakati hamna wateja? Hili swali najiulizaga sana, nimekuta...
0 Reactions
6 Replies
28 Views
Naitakia Simba Ushindi. nguvumoja . KIKOSI CHA AZAM KITAKACHOANZA KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA HT 0-0
7 Reactions
161 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimeangalia video inayomuonesha Mheshimiwa Shukuru Kawambwa waziri wa zamani na mstaafu katika serikali ya awamu ya nne chini ya uongozi wa Rais Mstaafu Mheshimiwa Daktari...
15 Reactions
126 Replies
3K Views
Naomba ushauri,nina mpenzi wangu kipindi cha nyuma,kabla hajakubali kuwa wapenzi kuna rafiki yangu alikuwa anamtongoza kwa siri, ila nilifamu kwamba anamtongoza bila yeye kujua. Sasa nikakubaliwa...
16 Reactions
94 Replies
2K Views
Watumishi wa umma wengi sasa hivi wanafuatilia issue ya kikokotoo cha mafao yao ya baadaye. Hata hivyo wapo watumishi wa umma ambao wapo kimya kuhusu kikokotoo labda kwa kuwa miaka yao ya...
6 Reactions
136 Replies
2K Views
sina uzoefu sana na jamii za mbwa, kwa mwenye uhitaji basi aje Pm , kwa details zaidi
16 Reactions
143 Replies
3K Views
Amani ya Mungu iwe juu yenu Najua hapa kuna waelewa wa mambo mengi katika biashara hivyo naomba kujua mambo yanayotakiwa ili kuanzisha ofisi ya betting. Miongoni mwa mambo ninayotaka kujua ni...
7 Reactions
22 Replies
309 Views
wakuu ni aje. Kama kichwa cha habari kinavyojeleza hii ndio post yenye likes nyingi hapa Jf tangu ilipoanzishwa👇 Kama kuna post unahisi ina likes nyingi kuzidi au zinafuatia share hapa
3 Reactions
2 Replies
71 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,095
Posts
49,507,235
Members
666,953
Latest member
Ngitejo
Back
Top Bottom