Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kama ofisini kwako kuna kiongozi anaanza kazi muda ambao ninyi mnatoka ofisini lazima atakuwa na sifa zifuatazo 1. Ni mzizi na hivyo usubiri watumishi watoke ndipo afanye uzinzi aidha na...
1 Reactions
8 Replies
236 Views
Katika MAISHA ya siasa unabidi kuelewa ubora wako unategemea na ubora wa mpinzani wako. Unapomgeuza mpinzani kuwa adui unabidi kujua unaenda kujiua na kujiangamiza. Adui -ni yule anayepambana...
11 Reactions
47 Replies
615 Views
Ni kweli kwamba Mvua inaleta demage karibu kila mahali inaponyesha, lakini kwa kweli kwa Tanzania ujenzi duni wa Barabara unaoongeza mno shida, hebu angalia Barabara hii, angalia kiwango cha lami...
0 Reactions
3 Replies
61 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ametaka kufikishwa mahakamani haraka kwa watumishi wanaodaiwa kuhusika na upotevu wa shilingi Milioni 428 ambazo ni fedha za Mpango wa Kunusuru Kaya...
3 Reactions
12 Replies
117 Views
Ndiyo kusema Kiswahili kimekua? Hiki Kiswahili gani cha barabara kumogoka? Wataalam wa Kiswahili mnisaidie!
0 Reactions
4 Replies
5 Views
Habari wana Jf wenzangu Nimeokota mahala sasa sijui ni nini wanaojua msaada tujuzane
8 Reactions
92 Replies
1K Views
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Simiyu Shemsa Seif Mohammed amemshukia Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Joelson Mpina kuacha siasa za Majitaka na badala yake ajikite kuwatetea...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Habari wakuu Najua JF ni kisiwa cha habari na maarifa pia kumekuwa na nyuzi nyingi ambazo sisi kama member tumekuwa tunazisoma. Basi mkuu ni hivi, wewe kama mwanaJF uzi gani ulikuvutia sana na...
8 Reactions
69 Replies
756 Views
Nina router nataka kuisafisha nimeshaifungua lakini nimeona niwaulize nitumie kimiminika gani kuisafisha
0 Reactions
4 Replies
65 Views
Kengold kutoka Mbeya imetwaa Ubingwa wa Championship Hatimaye baada ya miaka 23 timu ya Pamba Jiji FC ya Mwanza imefanikiwa kupanda ligi kuu Bishara United Mara na Mbeya Kwanza watasubiri...
0 Reactions
1 Replies
2 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,312
Posts
49,515,186
Members
667,061
Latest member
latifeh6243
Back
Top Bottom