Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mwandishi wa Habari, ERICK KABENDERA ameitaka Kampuni ya Simu ya VODACOM TANZANIA kumlipa USD 1,000,000 MILIONI ndani ya SIKU 14 kwa Kufanikisha kutekwa kwake mwaka 2019. Amefanya hivyo kupitia...
18 Reactions
78 Replies
4K Views
heyyyy sawa wanasimba tumekubali benchika kwenda kumuuguza mkewe, swali lilipo je wasaidizi wake pia wameenda kumuuguza shemeji yake?? tunachanganyikiwa shagala bagala
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika. Huwa najiuliza...
3 Reactions
23 Replies
93 Views
Tumekaribia siku ya wafanyakazi Duniani. Kitaifa siku hii kwa Tanzania na nchi baadhi za Afrika utumika kuwalaghai watumishi wa umma kwa kuwapa Maneno matamu na ya faraja Tupo kwenye tatizo...
2 Reactions
6 Replies
68 Views
Breaking: Benchika ameachana rasmi na Simba SC baada ya makubaliano ya pande zote mbili. Pia soma: Kocha wa Simba Benchikha awasilisha barua rasmi ya kuomba kuondoka mwishoni mwa msimu Klabu ya...
11 Reactions
97 Replies
5K Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
24 Reactions
5K Replies
119K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
512K Replies
29M Views
Hali imezidi kuwa mbaya wakuu, huyu mama naona ni kama ataniacha sasa yaani hata dakika simalizi. Msaada kwa anayejua tiba tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
29 Views
Salama Wakuu? Watu walitabiri na kutabiri mara Kikeke anaenda TBC, mara anaenda Wasafi, mara atalamba teuzi za Rais Samia akaungane na Zuhura, sasa kutabiri kumeisha, Kikeke huyooo kwa CROWN...
2 Reactions
10 Replies
61 Views
Kwa mara nyingine siasa zimeingilia hii game tutaona kama ni team zitafungiwa au ni nchi zitafungiwa jumla Au wataogopwa vile ni waarabu maana ingekuwa nchi kama tz Motsepe na genge lake...
3 Reactions
15 Replies
613 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,467
Posts
49,520,171
Members
667,130
Latest member
niite_carlos
Back
Top Bottom