Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu msaada, Sina uzoefu wa kuandika uzi mrefu, nini nifanye kujua ukweli wa ninachohisi mana jamaa nampenda ananipa mhogo vizuri naushiba vema., shida nimeanza kufatilia mwenendo wa mahusiano na...
1 Reactions
6 Replies
7 Views
Wakuu..mtoto miaka 6 anaenda 7 hivi ni haki kulala na wazazi mama yake anangangana kuwa ni kawaida. Ana chumba chake kizuri na cha gharama kwel ila toto linataka lala na mama. Mnaonaje wakuu...
8 Reactions
36 Replies
882 Views
Mwandishi wa Habari, ERICK KABENDERA ameitaka Kampuni ya Simu ya VODACOM TANZANIA kumlipa USD 1,000,000 MILIONI ndani ya SIKU 14 kwa Kufanikisha kutekwa kwake mwaka 2019. Amefanya hivyo kupitia...
17 Reactions
70 Replies
4K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
512K Replies
29M Views
Kwa kipindi kirefu sana CCM imekuwa ikisiasisha usalama (Politicize national security) wa Taifa letu. Mwanzoni wengine wenye umri mkubwa kidogo ingawa hatujafikia umri wa kina johnthebaptist...
3 Reactions
10 Replies
141 Views
Natumaini wote mko poa ndg wana JF,, lakini poleni sana kwale wote wenye changamoto yoyote ya kiafya au maisha kwa ujumla poleni sana Mungu awasaidie mkae sawa 🙏 Ndg zangu nimeamua kuandika uzi...
14 Reactions
55 Replies
813 Views
Habari zenu wana JF. Nahitaji badilisha rim za kwenye gari yangu,zilokuja from Japan na kuweka hizi alloy wheels or sport rims.Gari yangu ni porte na huwa nasafiri kwenda mkoa mara moja or mbili...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Uzi maalumu kwa watu waliokuwa wanahudhuria nyumba za ibada na baaadaye kuacha, weka sababu yako hapa, we unayehudhuria tupe sababu ya kuhudhuria (achana na zile za dini yangu ni bora, na ya kweli...
18 Reactions
217 Replies
5K Views
Katika MAISHA ya siasa unabidi kuelewa ubora wako unategemea na ubora wa mpinzani wako. Unapomgeuza mpinzani kuwa adui unabidi kujua unaenda kujiua na kujiangamiza. Adui -ni yule anayepambana...
2 Reactions
17 Replies
126 Views
" Mods Tunaomba Msiuondoe Huu Uzi. Ni 100% True. Unless mna ukweli tofauti na huu. Kama ni jukwaa huru basi msiondoe huu ukweli" Dhana iliyozungumziwa kwa muda mrefu kwamba FREEMAN MBOWE...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,247
Posts
49,513,149
Members
667,028
Latest member
Safisha99
Back
Top Bottom