Wakati msimu wa 2023/2024 ukiwa unaelekea ukingoni huku mbumbumbu Fc, wakijanasibu kuwa wamepania kwelikweli kufanya makubwa katika dakika za jioooooooooooooooni kabisa za ligi ya NBC, yafuatayo...
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza...
Ipo ivi mm ni mama ninamiaka 29 sasa ..naombeni busara zenu kuishi vipi na uyu mwanaume ..tumezaa watoto wawil apa kati tuliachana lakini nyumbani awakuelewa na hawataki kusikia ilibdi niludi...
heyyyy
sawa wanasimba tumekubali benchika kwenda kumuuguza mkewe,
swali lilipo je wasaidizi wake pia wameenda kumuuguza shemeji yake??
tunachanganyikiwa shagala bagala
Benchikha ni mtu flani anayekasirika haraka na asiyeweza kubeba maumivu, kejeli, dhihaka moyoni mwake.
Ni mtu fulani asiyemvumilivu na mpenda mafanikio kwelikweli, ni wachache tumeweza kumsoma...
Kwa habari Kamili tafadhali litafuteni Gazeti la The Monitor la Uganda ili mjisomee Wenyewe ila Mimi baada tu ya Kuisoma hiyo taarifa na Kunishtua sasa nafanya utaratibu Maalum wa kwenda Gym za...
Muuza madafu amehojiwa na Ayo Tv na kusema yeye Siyo yule Komandoo ila ni Kweli wanafanana
Muuza madafu amesema yeye anacheza kareti na boxing na anatamani sana kujiunga na mambo ya Ulinzi kama...
Kumekuwa na picha zinazoenea kwenye mitandao zikimuonyesha rais samia akiwa katika ibada kanisani,sina uhakika ikiwa ni ibada ya pasaka au otherwise lakini kinachoonekana ni kwamba amekwenda na...
Wazima jamani!
Hivi hili suala la kuchukiana bila sababu ni kwa wanawake tu ama na Nyie wanaume mnakutana nalo? Unaenda sehemu ukiwasili tu kama wewe ndo jini mkata kamba! Ni kwamba Chuki za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.