“Kama mnavyojua hali ya wenzetu [Somalia] haiko vizuri sana, kwahiyo tumewahakikishia kuwaunga mkono kwenye kujenga uwezo wa wao kama nchi kujilinda wenyewe.” – Rais Samia Suluhu
Sasa nchi yetu...
Tangu alipofariki aliyekuwa muasisi wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania, Dr. Moses Kulola, uongozi uliopewa dhamana kuliongoza kanisa hilo umeshindwa kuliunganisha kanisa hilo...
Taarifa ikufikie popote ulipo , kwamba Maandamano ya Amani yanayoratibiwa na Chadema kwa ajili ya kupinga ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi , yameingia Mkoani Mwanza , leo ni zamu ya...
Nashauri hii mikopo ya elimu ya juu ifutwe,mbona wanachuo wenzao wa diploma wanasoma bila mkopo na hatusikii kelele zozote?
Tofauti yao na wenzao wa diploma ipo wapi?
Nimeona serikali inataka...
Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam bado linaendelea kuwashikilia Boniface Jacob na Godlisten Malisa. Wanatuhumiwa kwa makosa ya uchochezi na kuzua taharuki katika jamii.
Polisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.