Kumekuwa na mjadala mkubwa kama yule ni mimi au sio Mimi.
Nimekuja mbele Yenu wa JF ili nijibu hoja na maswali yenu. Ila yule sio mimi.
Karibuni kwa maswali.
Kwa muziki wa bongo Diamond platinum anajua kucheza na mindset za watu ona sasa Sarah wa Kamwambie anavyotrend behind the scenes unaweza kuta ni tukio la kusadikika ila tayari watu washakuwa...
"SIKU MOJA MOJA SIYO MBAYA"
Leo nimekumbuka mwaka 2020 kipindi cha Pasaka,Jijini Arusha,hapo dili la ku-design michoro ya Majengo kadhaa ya Taasisi ya Kanisa limetiki na nka kabidhiwa pesa ya...
Kuna baadhi yetu tunapenda sana kujua hizi rank za jeshi,pamoja na alama zake!
Lakini wakati mwingine inakua ngumu kuzitambua au kuzijua kutokana na mifumo ya jeshi letu na teknolojia ndogo...
Wakuu maisha ni kushare love.
Nataka niwaambie vijana na watafutaji wengine ikiwemo hata watumishi wa umma wenye mishahara midogo midogo.
Hakuna sehem Tanzania hii panafaa Kwa mtu anayejitafuta...
Watu wengi hudha kuwa kuoga ni takwa la kiafya kumbe sio kweli kuoga kuna madhara mengi kuliko kutokuoga
Utafiti uliofanywa na wanasayansi umethibitisha kuoga mara kwa mara huleta madhara kiafya...
Simba wamewakatia denge Yanga, wao ss hv ni mabingwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yaani Simba ni bingwa nchi hii.
Sijui kama nimeekeweka, simba ni bingwa wa hapa bara na kule visiwani.
Unapopanda gari la umma kama kiongozi mwenye dhamana jiandae kisaikologia pia kushuka na kuwa RAIA wa kawaida.
Tunategemea kupata mabadiliko makubwa katika nyanja ya kisiasa kuanza mwezi Mei,2024...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.