Muda mwingine huwa nawaza tu, hivi Hawa watoto walioko mtaani ni kosa au matokeo ya nani??.
jibu ni sisi , ndio ni Mimi na wewe, Kama sio sisi, ni yule au wale. Haijalishi we ni mzuri auhandsome...
Jf amani iwe nanyi.
Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oct 2030, 77% ya wapigakura wote watakuwa ni Vijana wa 2000s`
Mrithi sahihi wa Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya CCM lazima awe ni mgombea...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
1. Hawa ndiyo wale vigogo wachache wa aina ya South Africa huko:
2. Kwamba Natenyahu ni kama yale mapanya road yale ya pande za kwetu tu?
3. Ana sifa gani, wapi, kiumbe huyu kwenye ulimwengu...
kwa siku, wiki, mwezi au mwaka kwa upande wako unaspend muda mrefu na bando kubwa zaidi ya data ukiwa kwenye ukarasa upi miongoni mwa kurasa nyingi tu, za mitandao ya kijamii humu duniani...
Kiongozi Mkuu wa ACT WAZALENDO, Zitto Kabwe, katika maelezo yake amedai kwamba walifikia Makubaliano na Mbowe ili yeye achukue uenyekiti wa Chadema baada ya Mbowe, Amezungumza mengi , lakini...
Wakuu..mtoto miaka 6 anaenda 7 hivi ni haki kulala na wazazi mama yake anangangana kuwa ni kawaida.
Ana chumba chake kizuri na cha gharama kwel ila toto linataka lala na mama.
Mnaonaje wakuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.