Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu habari za weekend Mimi nina changamoto ya mahusiano kwanza sijawahi kuwa na mahusiano ya kudumu yaani yatoboe mwaka sijawahi mengi ni muda mfupi sana yaani mpaka nawaone wivu wale wenye...
1 Reactions
35 Replies
167 Views
Ukitoa mafanikio ya kufungua wasap channels, Manzoki kuja kwenye uchaguzi, KIbu denis kuikanda Yanga Sc mara mbili mfululizo pamoja na kuishia Robo klabu bingwa Afica kama ilivyozoeleka Simba sc...
2 Reactions
17 Replies
68 Views
Moja ya kazi ya vyombo vya habari ni kutafuta habari, kuchambua habari na kutoa habari. sio habari za akina Boni ya kukamatwa ambazo zinagazaa katka acoount za Twitter ni habari zile ambazo...
0 Reactions
3 Replies
52 Views
Hivi kama Mwenyekiti CCM Taifa na Rais wa JMT Samia angesikia Ushauri wa Watu makini tena hadi wale waliompelekea dossiers za Paul Christian Makonda na kumtaka asimtumie kokote kwani ni Mtu...
3 Reactions
13 Replies
225 Views
Wewe ni tajiri au masikini?? Tuwekee picha tuone maana mmezidi kujitapa nyie matajri
0 Reactions
2 Replies
18 Views
Wakati umefika Sasa wa Serikali Kufanya maamuzi magumu Kwa kushirikiana na DRC na kuanza Ujenzi wa Daraja litakalokatisha Kwenye Ziwa Tanganyika. Daraja Hilo kinaweza kujengwa kati ya Bandari ya...
13 Reactions
149 Replies
3K Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
162K Replies
4M Views
Hii huwa inanishangza,je mpira ni kipaji au kujituma? Kibu ana kipaji au anajituma Utaambiwa anajituma
2 Reactions
21 Replies
451 Views
kwa siku, wiki, mwezi au mwaka kwa upande wako unaspend muda mrefu na bando kubwa zaidi ya data ukiwa kwenye ukarasa upi miongoni mwa kurasa nyingi tu, za mitandao ya kijamii humu duniani...
3 Reactions
71 Replies
752 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,193
Posts
49,511,173
Members
667,003
Latest member
JustinDrude
Back
Top Bottom