Ni Joe Kusaga tena…
Waswahili husema mwenye nacho huongezewa, sio sahihi. Mwenye nacho hujiongeza ndipo huongezewa.
Mfanyabiashara na mwekezaji mkubwa nchini aliyejikitika zaidi kwenye tasnia ya...
Habari wadau?
Kwa muda mrefu sana kuna jambo huwa limekuwa likijitokeza mara kwa mara kwangu, kwamba mara nyingi nikiwa naangalia majira kwenye saa ya mkononi au simu nakuta masaa na dakika...
Mimi ni kijana ninaetarajia kumaliza chuo mwezi wa 7 ( ualimu digrii)
Nataka kuendelea na masters baada kumaliza, na KOZI nazopendelea kuzisoma masters ni hizi zifuatazo;
1. Parasitology and...
Ndugu Viongozi wetu
Imefika wakati sasa Tanzania tunahitaji sheria ya Msamaria mwema au kwa kiingereza Good Samaritan Law. Sheria hii itawezesha kuokoa maisha ya watu wengi waliojeruhiwa, hasa na...
Mmeachana na Benchika nimefurahi sana, ana cv kubwa lakn uwezo wa kawaida tu, hana mbinu wala ufundi zaidi ya dharau, kebehi na kiburi.
Wengi hamjui lkn Benchika ana shida, kiuongozi hayawezi...
Ramani hii inaonesha jinsi Mchezaji wa Real Madrid alivyofunga goli la ushindi katika Fainali ya Copa del Rey 2014 dhidi ya Barcelona, mechi hiyo inayofahamika kwa jina la El Clásico ilimalizika...
Mtu mmoja aliniuliza kwa nini mara kadhaa umekuwa ukiwasema wanawake wanapoonesha udhaifu. nlimjibu ni sababu napenda sana wanawake kuliko kitu kingine chochote. katika maisha ya sasa vijana...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.