Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nauliza huyu Mwanamama anayeitwa Mange Kimambi ameshindwa kabisa kudhibitiwa kwa Tabia zake za Kutukana, Kudhalilisha, Kuumiza na hata Kuharibu Maisha ya Watu?? Tangu aanze haya Mambo ya Kutukana...
65 Reactions
711 Replies
65K Views
Naitwa cecylia ni Agent nafanya clearing ya magari na container kwa bei nzuri bandarini. Nafanya importation, exportation na pia nauza magari used na chassis no. Nauza magari ya mnada bandarini...
1 Reactions
6 Replies
92 Views
Mwisho wa kujichukulia sheria mkononi ni miaka mingapi? Au ni lifetime contract
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kwa muziki wa bongo Diamond platinum anajua kucheza na mindset za watu ona sasa Sarah wa Kamwambie anavyotrend behind the scenes unaweza kuta ni tukio la kusadikika ila tayari watu washakuwa...
1 Reactions
39 Replies
654 Views
1.A-age(younger than you but not too young atmost 6years) 2.B-beauty(lazima awe mzuri) 3.C-character(lazima awe na tabia nzuri) 4.D-distance(umbali unakomtolea mpenzi wako ni jambo muhimu sana...
2 Reactions
80 Replies
9K Views
Zitto Kabwe amesema mwaka 2012 alipata changamoto chama chake cha wakati huo cha CHADEMA akidai ilikuwa juhudi ya kumzuia kuwa mwenyekiti wa chama hicho, Zitto amesema kulikuwa na makubaliano...
8 Reactions
110 Replies
4K Views
Kuelekea siku ya wafanyakazi nchini Mei mosi, vijana ambao wanahitimu elimu ya vyuo vikuu tunaomba Serikali yetu chini ya Rais wetu mpendwa Mama Samia na timu yake yote tunamuomba jambo moja nalo...
8 Reactions
52 Replies
490 Views
Yani kabla ya mwisho wa mwezi nakuwa na mipango mingi sana tena ya maana mnoo. ila ukifika tu huo mwisho wa mwezi hela inavyopukutika sasa, hata sielewi. Mitungi jamani mitungi jamani...
2 Reactions
10 Replies
77 Views
Hii sio afya kwa mafanikio ya wenzetu mbumbumbu, muda mwingine inabidi kuwapa ushauri tu ambao mnaweza kuchukua ama kuuacha ikiwapendeza kwa maana akuna Yanga Bora bila Simba imara na akuna Simba...
2 Reactions
12 Replies
287 Views
Ni mengi yanapita kwenye huu uhusiano, najitahidi kufanya kazi kwa bidii kuimprove standard lakini mwandani wangu ni kama kwake ni tofauti. Mara nyingi kwenye mikusanyiko ya umma ni kama anaona...
9 Reactions
42 Replies
359 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,325
Posts
49,515,701
Members
667,071
Latest member
shedlib
Back
Top Bottom