Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hivi kama Mwenyekiti CCM Taifa na Rais wa JMT Samia angesikia Ushauri wa Watu makini tena hadi wale waliompelekea dossiers za Paul Christian Makonda na kumtaka asimtumie kokote kwani ni Mtu...
4 Reactions
28 Replies
437 Views
Pacoume ni moja kati ya mchezaji pendwa katika kikosi cha Yanga SC, siyo pendwa kwa kocha bali hata kwa mashabiki kutokana na kipaji chake cha kusakata kabumbu . Cha kushangaza kumetokea...
2 Reactions
71 Replies
996 Views
Isiishie tu kusema na kukemea bali Bunge letu halina budi kutunga sheria kali dhidi ya vitendo vya ushoga; vitendo vya ushoga, ndoa za jinsia moja na uhamasishaji wa vitendo vya ushoga. Majirani...
2 Reactions
15 Replies
73 Views
Nchi ya Namibia imetangaza kugundua kiasi kikubwa Cha Mafuta katika Pwani ya Nchi hiyo. Kwa mujibu wa kampuni ya Utafiti ya Kutoka Ureno ya Galp Energia inasema awamu ya kwanza ya matokeo...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Huu ni mkasa unaoenda mwanzo mpaka mwisho wake. Enjoy. Leon ana talanta ya kupiga picha lakini bado haijamlipa kama vile yeye anavyotamani. Anaamini anastahili kupata zaidi na zaidi na jambo...
4 Reactions
24 Replies
310 Views
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa. Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki. Wapo...
53 Reactions
573 Replies
29K Views
Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka . Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko...
9 Reactions
41 Replies
1K Views
JF, amani iwe nanyi. Wakati chama Cha Mapinduzi CCM kikiendelea kujigamba kuwa na mgombea bora zaidi tangu kuanzishwa kwa vyama vingi mwaka 1992 au hata tangu Uhuru wa Taifa hili mwaka 1961...
1 Reactions
9 Replies
132 Views
Breaking: Benchika ameachana rasmi na Simba SC baada ya makubaliano ya pande zote mbili. Credit by crown media #CrownSports
6 Reactions
35 Replies
641 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,223
Posts
49,512,171
Members
667,005
Latest member
JustinDrude
Back
Top Bottom