Salaam wadau.
Naomba kujuzwa na yeyote kuhusiana na hizi Chipset za MediaTek, haswa ubora wake na kwa nini bidhaa zilizo na Chipset hii zinadharaulika, je ni kweli MediaTek ni hovyo au ni maoni...
Nashauri hii mikopo ya elimu ya juu ifutwe,mbona wanachuo wenzao wa diploma wanasoma bila mkopo na hatusikii kelele zozote?
Tofauti yao na wenzao wa diploma ipo wapi?
Nimeona serikali inataka...
Kuna video ya mahojiano na aliyekuwa waziri na pia Mwakilishi wa Tanzania UN Mheshimiwa Amina Salim Ali inayotembea kwenye mitandao ya kijamii akielezea kuwa Zanzibar ndiyo iliyotoa mtaji wa...
Jf amani iwe nanyi.
Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oct 2030, 77% ya wapigakura wote watakuwa ni Vijana wa 2000s`
Mrithi sahihi wa Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya CCM lazima awe ni mgombea...
Wanajamvi wakati wa Jiwe Miradi ya Bandari Bagamoyo na ya gas LNG iliposimama wote humu tulimusimanga jiwe kuwa ni mkorofi ndo kasababisha hata Bandari ya Bagamoyo kutojengwa na wachina n waomani...
Tukiwa kwenye kampeni, walikuwepo wagombeaji wa kike na kiume. Katika baadhi ya maeneo huko vijijini, sehemu za kulala zilikua chache ukilinganisha na wingi wa wagombeaji na waongoza msafara...
Wawili hao wamewekwa mahabusu kwa masaa zaidi ya 40 kwa kosa linalodaiwa kuwa Uchochezi na kuzua Taharuki .
Walikamatwa na Jeshi la Polisi kwa amri ya RPC Muliro ambaye ndiye mlalamikaji Mkuu ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.