Wadau poleni sana na mihangaiko ya j'mos.
Kuna hili la kuandika matusi na maneno ya kejeli kwenye vyoo vya kulipia, unakuta ukutani pale pameandikwa matusi makubwa na maneno ya kejeli, kiukweli...
Kuna hizi blender zinaitwa SILVER CREST zinauzwa bei rahisi sana hadi 55,000 alafu wanaziita Heavy duty, kwanini zinaonekana bei rahisi sana lakini zinauwezo mkubwa,
Wataalumu mnipe siri kuhusu...
1. Hakuna Msaniii yoyote mkubwa wa Congo DR kuanzia kwa JB Mpiana, Koffi Olomide, Werrason, Felix Wazekwa, Roga Roga na Bendi yake ya Extra Musica, Fally Ipupa na Ferre Gola utamuita aje nchini...
Habari wanajamvi,
Mimi nikiwa km mdau wa kupiga vyombo ningependa niwawakilishe wala masanga wenzangu tunaopenda kuhudhuria kwenye hizi Baa na Lounge kupata moja mbili Bariiiiiiiidi.
Naona...
Na sababu Kuu ya Kuongea aliyoyaongea jana ilikuwa ni sehemu ya Makubaliano aliyopewa baada ya Mhusika kuwa Muoga na Kuwaonea Aibu Watajwa kwakuwa anajuana nao Kitambo ( wengine kupitia Baba zao )...
Habari za uhakika ni kwamba yule Kocha aliyefeli vibaya simba kuliko makocha wote ameomba kuondoka simba ifikapo mwisho wa msimu.
Sababu ni kwamba Simba hawampi thamani pia haoni mipango yoyote...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.