Najua Kuna nyuzi nyingi kuhusu kikokotoo kipya vs kile Cha zamani,
Lakini ili kuondoa utata naomba mods waache huu uzi,
Kwani hili swali likijibiwa utata wote utaisha..
Hili ni maalum kwa WALE...
Salaam, Shalom!!
Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.
Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,
1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI...
Pacoume ni moja kati ya mchezaji pendwa katika kikosi cha Yanga SC, siyo pendwa kwa kocha bali hata kwa mashabiki kutokana na kipaji chake cha kusakata kabumbu .
Cha kushangaza kumetokea...
Wadau wana jamiiforum kwa mwenye ufahamu wa huu mfumo wa uhamisho wa ess, Kuna mwalimu nabadilishana nae kutoka wilaya x ila kwangu mimi status inasoma tayari iko Tamisemi ila mwenzangu bado...
Nashauri hii mikopo ya elimu ya juu ifutwe,mbona wanachuo wenzao wa diploma wanasoma bila mkopo na hatusikii kelele zozote?
Tofauti yao na wenzao wa diploma ipo wapi?
Nimeona serikali inataka...
inaaminika kuwa ni ujanja kula Hela ya mtu na kukimbia na kutangaza kuwa sio taipu yangu,mshamba,kajipendekeza etc.
Spiritually ( kiroho) mtu akikupa kitu chake, ukapokea, tayari umejiunganisha...
Ni Joe Kusaga tena…
Waswahili husema mwenye nacho huongezewa, sio sahihi. Mwenye nacho hujiongeza ndipo huongezewa.
Mfanyabiashara na mwekezaji mkubwa nchini aliyejikitika zaidi kwenye tasnia ya...
Sijajua shida ni kabila au Nini, lakini Leo nimemchezeshea kichapo sio kidogo.
Iko hivi: juzi nimerudi nikiwa nimehemea sikupokelewa nikakausha, Jana nimerudi nikiwa nimehemea nikapondewa vitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.