Shalom,
Tafadhari mwenye video popote alipo aiweke hapa, kuna kichapo Cha mbwa Koko mzungu mwenye matusi ya kutia watu Nyani amekipata, Nairobi ilijaa kizaa zaa baada ya mzungu kupata kichapo...
Breaking: Benchika ameachana rasmi na Simba SC baada ya makubaliano ya pande zote mbili.
----
Kocha mkuu wa Simba Abdelhak Benchikha pamoja na wasaidizi wake rasmi wameachana na klabu ya...
Huyu rafiki yangu nilimtembelea nyumbani kwake Dar es salaam. Mimi nilikuwa nafanya kazi Mtwara na nilikuja Dar ili niunganishe usafiri wa kwenda kwetu Musoma.
Nyumbani kwa rafiki yangu...
Mabasi mengi ya kwenda Mikoani huwa yanafungulia nyimbo za Injili kwanzia mwanzo hata mpaka mwisho wa safari.
Kitendo cha kufungulia nyimbo za Injili sio jambo baya lakini mara nyingi nyimbo hizo...
Ni mengi yanapita kwenye huu uhusiano, najitahidi kufanya kazi kwa bidii kuimprove standard lakini mwandani wangu ni kama kwake ni tofauti.
Mara nyingi kwenye mikusanyiko ya umma ni kama anaona...
Kengold kutoka Mbeya imetwaa Ubingwa wa Championship
Hatimaye baada ya miaka 23 timu ya Pamba Jiji FC ya Mwanza imefanikiwa kupanda ligi kuu
Bishara United Mara na Mbeya Kwanza watasubiri...
Kwa muziki wa bongo Diamond platinum anajua kucheza na mindset za watu ona sasa Sarah wa Kamwambie anavyotrend behind the scenes unaweza kuta ni tukio la kusadikika ila tayari watu washakuwa...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Nchini Tanzania, na Afrika kwa ujumla kumekuwa na dhana potofu ya kufikiri kwamba kila mtu mkubwa (kimamlaka) anapokuwa amekufa, basi anakuwa ameuwawa aidha na baadhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.