Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Salaam, Shalom!! Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe...
14 Reactions
108 Replies
2K Views
Wakuu mimi nikijana mdog tu sana hata 22 sijafika najitegemea ila nimepatwa na hili janga choo nakiona kuzimu kila nikibanwa na gogo natamani nijifiche Kwanza mimi sio mlaji sana haswa...
1 Reactions
34 Replies
439 Views
Hivi ni kwanini jua linapochomoza na linapokaribia kuzama sio Kali sana kama linavyokuwa muda wa mchana? Wajuzi karibuni. Asante sana.
4 Reactions
39 Replies
595 Views
Wana jukwaa wa MMU habarini? Huwa sio siri kitaa nachokijua mimi kina watoto wakike fulani katika ukuaji wao mpaka sasa huwa baadhi yao ni ngumu kuja kuishi na wenza makini kwa maana ya wao...
2 Reactions
13 Replies
385 Views
Wadau nimekuwa nazifuatia Mali za CCM.Wakati wa Mfumo wa Chama kimoja cha SIASA ilikuwa WANANCHI wote bila kujali ni mwanachama wa CCM au Huna chama ni LAZIMA uchangie Maendeleo. Wakati wa Ujenzi...
3 Reactions
21 Replies
146 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimeangalia video inayomuonesha Mheshimiwa Shukuru Kawambwa waziri wa zamani na mstaafu katika serikali ya awamu ya nne chini ya uongozi wa Rais Mstaafu Mheshimiwa Daktari...
11 Reactions
58 Replies
2K Views
Naomba kuuliza juu ya Tangazo hili kama ni la kweli, maana linasambaa sana. [emoji120]
10 Reactions
214 Replies
9K Views
Ingekuwa ni Tanzania hakyamungu huyu Dereva wa hili Lori ningegawana nae Majengo ya Serikali kwani ni Mpumbavu sijapata Kuona. Yaani anaona kabisa Mto Umefurika na Watu wa pande zote Mbili...
0 Reactions
0 Replies
13 Views
Huyu bwana mdogo anaacha mpira makusudi anaamua kukanyaga mguu kwa nguvu kubwa na kamera za azam hazikuriludia hilo tukio maana walijua kitakachomkuta huyu bwana mdogo, pacome alikanyagwa makusudi...
10 Reactions
32 Replies
2K Views
Ndugu zetu waislamu wameahidiwa makubwa pindi watakapofika peponi, na mimi naanza kujitafakari.
36 Reactions
454 Replies
15K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,969
Posts
49,502,441
Members
666,899
Latest member
Unyade wade
Back
Top Bottom