Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja. Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
23 Reactions
2K Replies
17K Views
Nimepata taarifa kutoka kwa madogo ninaowaamini kua pale wizara ya Afya wale watu wanaohusika kuwalipa wanafunzi waliopata ufadhili wa mama Samia kusoma nje ya nchi wanawalaghai wanafunzi hao...
2 Reactions
5 Replies
103 Views
Naitakia Simba Ushindi. nguvumoja . KIKOSI CHA AZAM KITAKACHOANZA KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA HT 0-0
7 Reactions
211 Replies
4K Views
Miongoni mwa mambo ninayo yangoja kwa hamu ni kuingia mojakwamoja peponi. Naomba kuuliza wataalamu wa maandiko endapo peponi kuna nyama choma yenye pilipili kwambaali na limao. Imeandikwa...
9 Reactions
46 Replies
518 Views
Hii huwa inanishangza,je mpira ni kipaji au kujituma? Kibu ana kipaji au anajituma Utaambiwa anajituma
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Jana nilipita Baa Moja hivi usiku mkali kula, nikakuta ndio Bar inakaribia kufungwa. Ghafla nikasikia malumbano kati ya Meneja wa Baa na kabinti kamoja hivi (waitress). Kumcheki yule waitress...
20 Reactions
81 Replies
1K Views
Hivi mshawahi kujiuliza unapita mahali mtu kafungua frem au duka hata hamna wateja unajiuliza huyu mtu huwa anaweza vipi kulipa kodi wakati hamna wateja? Hili swali najiulizaga sana, nimekuta...
2 Reactions
15 Replies
145 Views
Naomba ushauri,nina mpenzi wangu kipindi cha nyuma,kabla hajakubali kuwa wapenzi kuna rafiki yangu alikuwa anamtongoza kwa siri, ila nilifamu kwamba anamtongoza bila yeye kujua. Sasa nikakubaliwa...
17 Reactions
100 Replies
2K Views
sina uzoefu sana na jamii za mbwa, kwa mwenye uhitaji basi aje Pm , kwa details zaidi
17 Reactions
148 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,098
Posts
49,507,421
Members
666,954
Latest member
Ngitejo
Back
Top Bottom