Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wana Lamadi na wana Bunda karibuni. Nahitaji Basi ambazo hazipiti njia ya Mwanza bali njia ya Bariadi na Maswa. Nauli bei gani?
1 Reactions
14 Replies
210 Views
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa. Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki. Wapo...
56 Reactions
602 Replies
31K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
Mimi ni kijana wa miaka 25 Natafuta kazi ya Usafi, House Boy. Elimu yangu ni kidato cha 6 pia nina cheti cha udereva🙏
3 Reactions
3 Replies
201 Views
Binadamu tumeumbwa kusahau. Ngoja niwakumbushe mambo mawili matatu ambayo yaliibadilisha Simba kutoka katika mkwamo iliokuwa nao. 1. Tunasahau Simba ilikuwa inacheza hadi dakika ya 60 inakata...
4 Reactions
20 Replies
465 Views
Mzuka Wanajamvi! 2019 nilitabiri humu humu jamvin Liverpool itaifunga Barcelona 4-3 nusu fainali mechi ya marudio UEFA champions league na kuchukua UEFA dhidi ya Tottenham fainali. Nilibezwa na...
3 Reactions
17 Replies
305 Views
Uzuiaji wa makombora ya Iran 110 yaliyofanywa na Israel majuzi imeishtua dunia nzima. Hata hivyo kwa India tukio hili lina umuhimu wa kipekee kabisa kwa kuzingatia ushirikiano kati ya Israel na...
7 Reactions
24 Replies
559 Views
  • Poll
Jf amani iwe nanyi. Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oct 2030, 77% ya wapigakura wote watakuwa ni Vijana wa 2000s` Mrithi sahihi wa Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya CCM lazima awe ni mgombea...
6 Reactions
339 Replies
8K Views
Mimi ni kijana ninaetarajia kumaliza chuo mwezi wa 7 ( ualimu digrii) Nataka kuendelea na masters baada kumaliza, na KOZI nazopendelea kuzisoma masters ni hizi zifuatazo; 1. Parasitology and...
3 Reactions
47 Replies
461 Views
IPTL YATISHIA KUSHTAKI GAZETI LA MWANAHALISI Wakili wa IPTL, Leonard Manyama KAMPUNI ya kufua umeme wa dharula ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) inakusudia kwenda mahakamani kushtaki...
0 Reactions
1 Replies
2 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,317
Posts
49,515,474
Members
667,069
Latest member
shedlib
Back
Top Bottom