Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

MITHALI 18:22 Apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali kwa BWANA. WAEFESO 5:31 “Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa...
9 Reactions
57 Replies
975 Views
Taarifa ikufikie popote ulipo , kwamba Maandamano ya Amani yanayoratibiwa na Chadema kwa ajili ya kupinga ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi , yaneingia Mkoani Mwanza , leo ni zamu ya...
1 Reactions
1 Replies
20 Views
Naitakia Simba Ushindi. nguvumoja .
4 Reactions
27 Replies
558 Views
Za jion wana jamii, Naimani mko powa wote Naombeni ushauri kidg kuhus location nahitaj kufungua biashara ya nafaka. Sasa ningependa kujua sehemu imbayo inamzunguko mkubwa wa watu na ambayo...
2 Reactions
17 Replies
367 Views
Hapa ni baadhi 1. Mbege 2. Dengerua 3. Pingu (Pombe hii mama muuza hakupi hadi ahakikishe kwanza umevaa suruali au pajama ndefu hadi chini kwenye vifundo vya miguu. Hapa mteja lazima ufungwe...
2 Reactions
50 Replies
406 Views
Mapambano ya kudai haki bado yanaendelea , Ambapo leo Maandamano ya Amani ya kupinga dhiki , ugumu wa Maisha , Kikokotoo na Sheria Mbovu za Uchaguzi , Yamefika Mkoani Singida , Yakianzia Singida...
2 Reactions
6 Replies
88 Views
Hii vita ni kali sana na ilianza tangu wakati wa Nyerere alipotaifisha majumba ya watu wa asili ya watu fulani..Ikaendelea wakati wa Mkapa alipochoma ngano za mfanyabiashara fualani bila vigezo...
11 Reactions
53 Replies
873 Views
Dar ni sehemu yenye raha nyingi kama kulivyo na karaha nyingi pia. Japo kwangu nikipima naona karaha ndio zimezidi. Ni kawaida sana kukuta misururu ya foleni ya watu wakigombea usafiri tena...
11 Reactions
53 Replies
1K Views
Muuza madafu wa ikulu alusema amecheza boxing na karate kidogo, akasema ukija bila gadi anagawa wastani kwa idadi. Hii mliielewaje?
0 Reactions
8 Replies
83 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,975
Posts
49,502,640
Members
666,898
Latest member
Unyade wade
Back
Top Bottom