Wakuu mimi nikijana mdog tu sana hata 22 sijafika najitegemea ila nimepatwa na hili janga choo nakiona kuzimu kila nikibanwa na gogo natamani nijifiche
Kwanza mimi sio mlaji sana haswa...
Wakati wakitangaza wiki ya Maandamano , viongozi wa Chadema walisema kwenye Azimio la Mtwara limeagiza Wanachadema wote walio nje ya Nchi waandae maandamano ya kupinga Ugumu wa Maisha nchini...
Hii vita ni kali sana na ilianza tangu wakati wa Nyerere alipotaifisha majumba ya watu wa asili ya watu fulani..Ikaendelea wakati wa Mkapa alipochoma ngano za mfanyabiashara fualani bila vigezo...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Kama ni kweli kocha Benchika anaondoka mwisho wa msimu, hakuna haja tena ya simba kutafuta kocha kutoka mbali au kocha mwenye rangi nyeupe.
Ibenge ni mmoja kati ya makocha wenye CV kubwa barani...
nimeipenda sana hii statement ya Mkuu wa Mkoa wa DSM Chalamila.
nakubaliana naye kuwa ni kweli kabisa haiwezekani kwa watendaji wote mkawa wapole lazima wengine wapo ni wakali kwa asili yao....na...
1. Hakuna Msaniii yoyote mkubwa wa Congo DR kuanzia kwa JB Mpiana, Koffi Olomide, Werrason, Felix Wazekwa, Roga Roga na Bendi yake ya Extra Musica, Fally Ipupa na Ferre Gola utamuita aje nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.