Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Natoa ofa ya wikiendi, hii ramani ya vyumba vitatu kwa 20k. Karibuni
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hakuna nchi duniani yenye uhuru usio na mipaka, hakuna na haipo, hata huyo fala wenu Mange Kimambi mnayemtuma amtukane na kumdhalilisha kiongozi wa nchi kuna siku ataingia kwenye 18 za watu atajua...
2 Reactions
6 Replies
19 Views
Kama wiki mbili hivi sikuwa online kwenye social media hivyo nilipata wasaa wa kusikiliza redio zetu hapa nchini. Katika wiki zote hizo mbili nilikua natune almost radio zote , ila vipindi vingi...
3 Reactions
15 Replies
49 Views
Taarifa ikufikie popote ulipo , kwamba Maandamano ya Amani yanayoratibiwa na Chadema kwa ajili ya kupinga ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi , yameingia Mkoani Mwanza , leo ni zamu ya...
1 Reactions
15 Replies
232 Views
MITHALI 18:22 Apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali kwa BWANA. WAEFESO 5:31 “Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa...
9 Reactions
63 Replies
1K Views
Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na...
44 Reactions
209 Replies
5K Views
Tumugoje tumuleshe? Huo ndio msimbo wao, au password yao, ikiwa na maana "Tumuuwe au tumuache?" Hawa watu ni wagumu sana kwenye mahusiano, ni makatili sana na Wana roho ya ajabu kabisa. Mwanamke...
27 Reactions
222 Replies
8K Views
Unakutana na kijana ana mwaka wa 4 anafanya saidia fundi Unakaa unamshangaa , ina maana anafanya hii kazi pasipo malengo yoyote, Kuna mawili , uachane na hiyo kazi au uwe tayali umejifunza...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
228 Reactions
400K Replies
32M Views
Msikilize Lissu hapa akitema cheche Ukweli lazima uwekwe wazi
9 Reactions
56 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,987
Posts
49,503,228
Members
666,913
Latest member
pali akili
Back
Top Bottom