Kutokana na hali ya uchumi kuwa mgumu vijana wengi wameangukia kwenye unywaji wa pombe za bei rahisi zinazo lewesha haraka kama sungura,master, jogoo nk ukiwa mtumiaji wa hizi pombe huwezi...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
US imepitisha sheria kuwa Tik Tok ijiuze kwa kiampuni za Marekani ndani ya mwaka mmoja au ifunge biashara US. Kwa nini bunge limepitisha sheria hii nzito?
Sijajua shida ni kabila au Nini, lakini Leo nimemchezeshea kichapo sio kidogo,
Iko hivi: juzi nimerudi nikiwa nimehemea sikupokelewa nikakausha, Jana nimerudi nikiwa nimehemea nikapondewa vitu...
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa.
Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki.
Wapo...
Napata wasiwasi kwanini dunia inatumia nguvu nyingi kuishawishi Israel isishambulie Iran, kipi wanachokijua tusichokua na habari nacho, maana kama tujuavyo Israel ni wazee wa mipango ya kimya...
Hii game imesimamishwa kwa sababu ya Radi. Dakika 21'
Weather conditions cause a suspension of play.
The referee brings play to a halt and signals for both teams to head to the changeroom with...
Jumla ya Ada kwa Miaka yote mitano: 32,769,250
Tukumbuke hiyo ni ada tu haijajumlisha gharama za chakula, hostel, stationary, na mengineyo
Swali langu kwa mliosoma ama kusomesha watoto wenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.