Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari wanajamvi, Mimi nikiwa km mdau wa kupiga vyombo ningependa niwawakilishe wala masanga wenzangu tunaopenda kuhudhuria kwenye hzi Bar na Lounge kupata moja mbili Bariiiiiiiidii... Naona...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ni sehemu ndogo sana ya wapenzi wanaoishi mbalimbali ambao hudumu kwenye uhusiano wao kwa muda mrefu. Hiki kinaonekana kuwa ni kitendawili kigumu sana kwa wapenzi wengi kuvumiliana kwenye...
1 Reactions
13 Replies
63 Views
Madaktari na watu wa afya kwenye eneo la Gaza wameshughulika sana kufukua makaburi ya halaiki baada ya vikosi vya Israel kuondoka maeneo ya mahospital waliyokuwa wakiyakalia. Hali ni ya kutisha...
4 Reactions
59 Replies
1K Views
Nauliza kwa upole, tujadiliane bila jazba. Sidhani kama kuna mwanaume mwenye mpenzi au mke mmoja tu. Katika marafiki zangu milioni moja huyo mtu hayupo, labda useme huko hali ipoje. Nimejaribu...
4 Reactions
11 Replies
106 Views
Mimi hata ukinipa million 5 sasa hivi siwezi kujibania lazima ipigwe kiberiti kazi ya Hela sio kuwekwa chumbani au kuhifadhiwa.. Unajenga nini lijumba kubwa wakati una mwili mdogo we huoni wazungu...
1 Reactions
7 Replies
123 Views
kama kweli tumedhamiria kusimamia maadili ya kizazi chetu basi mamlaka husika zinao wajibu wa kutupia macho matamasha ya taarabu ambayo kwa kiasi kikubw mashoga hujiingiza na kujiuza/. jana trh...
3 Reactions
19 Replies
376 Views
Unakutana na kijana ana mwaka wa 4 anafanya saidia fundi Unakaa unamshangaa , ina maana anafanya hii kazi pasipo malengo yoyote, Kuna mawili , uachane na hiyo kazi au uwe tayali umejifunza...
6 Reactions
36 Replies
468 Views
Swali #1. Kati ya Mwanamke na Mwanaume nani ambaye husikia Utamu zaidi ya Mwenzake wakati wa Mbanduano Kitandani? Swali #2. Kati ya Yai na Kuku kipi kilitangulia Kuja / Kujitokeza? Nimeambiwa...
5 Reactions
78 Replies
1K Views
Uzi maalumu kwa watu waliokuwa wanahudhuria nyumba za ibada na baaadaye kuacha, weka sababu yako hapa, we unayehudhuria tupe sababu ya kuhudhuria (achana na zile za dini yangu ni bora, na ya kweli...
9 Reactions
110 Replies
2K Views
JE, WAJUA msichana anayeanza kushiriki ngono katika umri mdogo anakuwa katika hatari zaidi ya kupata Saratani ya Mlango wa Kizazi endapo atakuwa hajapata Chanjo ya HPV? Takwimu za Wizara ya Afya...
0 Reactions
1 Replies
61 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,039
Posts
49,504,781
Members
666,941
Latest member
Ayubu popati
Back
Top Bottom