Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka .
Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko...
Wakuu habari za weekend
Mimi nina changamoto ya mahusiano kwanza sijawahi kuwa na mahusiano ya kudumu yaani yatoboe mwaka sijawahi mengi ni muda mfupi sana yaani mpaka nawaone wivu wale wenye...
Tumeona furaha ya wanachama wenu ikiwa kubwa kule Zanzibar baada ya kutwaa kikombe Cha muungano baada ya kucheza mechi 2 na kubeba ndoo iyo, Mmewapa wanachama wenu walichokitaka kwa msimu mzima ni...
Habari za Wakati huu.
Hivi inakuwaje Nyaraka zetu kama barua, mitihani, vyeti, nk zinatumika kufungia mandazi, vitumbua, mchicha, nk
Leo nimenunua chapati nje ya chuo cha MUHAS na kifungiwa...
Nipigie nikuhudumie. Napatikana Jiji La Dar es Salaam
KWA MAWASILIANO : 0714693107
Karibuni Sana.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wakuu habari,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21 sasa, niko chuo X. Naomba niende straight kwenye point wakuu maana nahitaji msaada wa haraka sana. Nimetokea kumpenda binti flani ambaye niko...
Hivi kama Mwenyekiti CCM Taifa na Rais wa JMT Samia angesikia Ushauri wa Watu makini tena hadi wale waliompelekea dossiers za Paul Christian Makonda na kumtaka asimtumie kokote kwani ni Mtu...
Salaam, Shalom!!
Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.