Muuza madafu amehojiwa na Ayo Tv na kusema yeye Siyo yule Komandoo ila ni Kweli wanafanana
Muuza madafu amesema yeye anacheza kareti na boxing na anatamani sana kujiunga na mambo ya Ulinzi kama...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Kwa wale watumiaji wa tiktok nilikuwa naomba kuuuliza swali, upande wa kutoa mafaranga yako kwa upande wa Tanzania [emoji1241] unatumia account ipi?
Maana nimejaribu kutumia PayPal lakni...
Kumekuwa na mjadala mkubwa kama yule ni mimi au sio Mimi.
Nimekuja mbele Yenu wa JF ili nijibu hoja na maswali yenu. Ila yule sio mimi.
Karibuni kwa maswali.
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Uzuiaji wa makombora ya Iran 110 yaliyofanywa na Israel majuzi imeishtua dunia nzima. Hata hivyo kwa India tukio hili lina umuhimu wa kipekee kabisa kwa kuzingatia ushirikiano kati ya Israel na...
Simba wamewakatia denge Yanga, wao ss hv ni mabingwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yaani Simba ni bingwa nchi hii.
Sijui kama nimeekeweka, simba ni bingwa wa hapa bara na kule visiwani.
Nimeshangazwa kuona Yanga sc inaingia na mkataba na kampuni inayofahamika kinondoni ilala na temeke tu na bidhaa zake inauzia palepale Daresalaam tu tena kuna baadhi ya maeneo ya Daresalaam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.