Habari wakuu...
Hivi hizi oil perfumu za kupima zinadumu mda mrefu kama original...
Mfano kuna jamaa anauza creed aventus mils 100 kwa 55k...
Kuna aliyewahi tumia?
Ubora upoje?
Wakuu habari za weekend
Mimi nina changamoto ya mahusiano kwanza sijawahi kuwa na mahusiano ya kudumu yaani yatoboe mwaka sijawahi mengi ni muda mfupi sana yaani mpaka nawaone wivu wale wenye...
Nyumba Inauzwa.
Ipo Vingunguti kituo msikitini karibu na Tabata Barakuda.
Ina Vyumba vinne(4), hakuna master bedroom.
Eneo Sqm 135.73
Ina leseni ya makazi.
Bei Milioni 85
Karibu sana mteja...
Salaam, Shalom!!
Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.
Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,
1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI...
Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka .
Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Huu ni mkasa unaoenda mwanzo mpaka mwisho wake. Enjoy.
Leon ana talanta ya kupiga picha lakini bado haijamlipa kama vile yeye anavyotamani.
Anaamini anastahili kupata zaidi na zaidi na jambo...
Nitafuahi nikijibiwa manake kuna mwaka nilienda na Mtu mmoja niliyekuwa namheshimu sana huko Bandarini na hakika kwa jinsi wala Wafanyakazi walivyokuwa Wakitukana huku wakiendelea vyema tu na Kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.