Sisi wote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.
Nani anayefuatia kushika kiti chake kwa mujibu wa itifaki ya ufalme wa Uiengereza.
King Charles’ health ‘not good,’ funeral planning underway: Report
Madereva wa Bolt na Uber wanaongoza kuharibu biashara hii ya usafiri na endapo kampuni hizi hazitachukua hatua basi zitakufa hivi karibuni
-Madereva hawa huwa wanachelewa sana kumfwata mteja...
Wakubwa habari za mida tena, nahitaji ku jenga Gaming PC, kwa kutumia parts kutoka AliExpress. Mimi sina uzoefu na kazi hii na sijawai kufanya jambo hili nataka, kwanzia mwezi wa 12, nianze...
Jeshi la Polisi limewakamata Watu Wawili waliomdhalilisha Waziri wa zamani wa Miundombinu Dr Shukuru Kawambwa
Aidha Jeshi la Polisi limemtaka mtu aliyerekodi tukio la udhalilishaji huo na...
Picha linaanza mashabiki wa Mamelod wakilaumu vikali na kulalamika kupangwa na timu wanayoiona ni underdog YANGA SC, huku wakidai kuwa wao ni wakubwa walimtaka mkubwa simba SC na wakajiona tayari...
Sijajua shida ni kabila au Nini, lakini Leo nimemchezeshea kichapo sio kidogo,
Iko hivi: juzi nimerudi nikiwa nimehemea sikupokelewa nikakausha, Jana nimerudi nikiwa nimehemea nikapondewa vitu...
Hii game imesimamishwa kwa sababu ya Radi. Dakika 21'
Weather conditions cause a suspension of play.
The referee brings play to a halt and signals for both teams to head to the changeroom with...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.