Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Naomba ladies mfunguke kuhusiana na hilo swali langu hapo juu. Asante
4 Reactions
86 Replies
1K Views
Hivi mshawahi kujiuliza unapita mahali mtu kafungua frem au duka hata hamna wateja unajiuliza huyu mtu huwa anaweza vipi kulipa kodi wakati hamna wateja? Hili swali najiulizaga sana, nimekuta...
5 Reactions
29 Replies
568 Views
Naitakia Simba Ushindi. nguvumoja . KIKOSI CHA AZAM KITAKACHOANZA KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA HT FT
7 Reactions
282 Replies
8K Views
Naomba ushauri, Mimi nikijana wa miaka 24, kipindi nipo kidato Cha nne nilijihusisha na mahusiano ya kimapenzi na mdada wa kidato Cha pili, hatukuweza kushiriki kitu chochote nilipojiunga na...
1 Reactions
3 Replies
75 Views
Ni Katika sherehe za miaka 60 ya Muungano Ngoja nifanye Mpango wa kuweka picha husika kutoka kwa Liberatus ukurasani X Mlale Unono 😄😄
2 Reactions
20 Replies
376 Views
Ni sehemu ndogo sana ya wapenzi wanaoishi mbalimbali ambao hudumu kwenye uhusiano wao kwa muda mrefu. Hiki kinaonekana kuwa ni kitendawili kigumu sana kwa wapenzi wengi kuvumiliana kwenye...
8 Reactions
96 Replies
845 Views
Mzuka, mashamsham na tamaa vyote viliyeyuka, baada ya kuona makalio yanaondolewa na kutundikwa juu kama inavyoonekana hapa chini. Nimejiuliza maswali mengi sana. Hivi ananionaje huyu dada mpk...
10 Reactions
35 Replies
734 Views
Habari wana jamvi kama kichwa cha habari kinavosema hapo juu. Dhumuni la kuandika hii thread nikutaka ushauri kwa ambao watakuwa tayari kunipa ushauri nitaupokea. Huyu binti anaezitesa hisia...
8 Reactions
101 Replies
5K Views
Naomba ukweli tu ndio usemwe nani mwenye uwezo wa kimedani Kati ya mahasimu hawa wawili kati ya muyahudi na waajemi. Kuna watu wanapenda mambo ya medani japo vita ni kuzimu(hell) ila ni hulka ya...
9 Reactions
194 Replies
3K Views
Habari. Kwa Wale wenye mpango wa kusoma afya. Naomba nitaje course zisemi zinaajira Ila kwa mwenye upeo wa mbali hizi course zina fursa Sana hasa upande wa afya. Course hizo ni. 1. BIOMEDICAL...
5 Reactions
16 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,108
Posts
49,508,086
Members
666,954
Latest member
Ngitejo
Back
Top Bottom