Swali #1.
Kati ya Mwanamke na Mwanaume nani ambaye husikia Utamu zaidi ya Mwenzake wakati wa Mbanduano Kitandani?
Swali #2.
Kati ya Yai na Kuku kipi kilitangulia Kuja / Kujitokeza?
Nimeambiwa...
Wakuu mimi nikijana mdog tu sana hata 22 sijafika najitegemea ila nimepatwa na hili janga choo nakiona kuzimu kila nikibanwa na gogo natamani nijifiche
Kwanza mimi sio mlaji sana haswa...
Guys ninaomba ushauri,
Nina mwanamke wangu nilikuwanaye kwenye mahusiano tangu nipo nasoma mpaka namaliza lakini ilinichukua kama mwaka na nusu bila kupata kazi.
Wakati huo yeye alikuwa na kazi...
Watumishi wa umma wengi sasa hivi wanafuatilia issue ya kikokotoo cha mafao yao ya baadaye.
Hata hivyo wapo watumishi wa umma ambao wapo kimya kuhusu kikokotoo labda kwa kuwa miaka yao ya...
Habari wakuu,
Baada ya kuijadili kwa kina thread yetu pendwa Akili ya binadamu katika huo uzi mimi nilikuwa mchangiaji mkuu, niliichambua na kuielezea akili ya binadamu ktk angle ya kibaiolojia...
Miaka michache ijayo sijui kama kutakuwa na wanaume hapa Dar! Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana, ushoga umekuwa ni jambo la kawaida hapa Dar.
Sidhani kama kuna mtaa Dar...
Nimeona nije na uzi maalum wa kupeana updates wa vita mpya inayotarajiwa kulipuka kati ya Iran na Israel muda wowote kuanzia sasa
Inaonekana inayokuja mashariki ya kati itakua sio ya mchezo...
Nahisi kama Kocha ndio tatizo, huwa hana plan japo ana players.
Imepigwa ndani nje
Mechi 3 no goal huku timu inawachezaji wa bilioni 10
Kocha afukuzwe na kina Zwane Shilule hawana impact ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.