Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu..mtoto miaka 6 anaenda 7 hivi ni haki kulala na wazazi mama yake anangangana kuwa ni kawaida. Ana chumba chake kizuri na cha gharama kwel ila toto linataka lala na mama. Mnaonaje wakuu...
8 Reactions
22 Replies
446 Views
Kumetokea tabia ya baadhi ya viongozi na wanasiasa kudai hasara au matatizo ya Tanzania ya Mosi kuhamia Dodoma kuliko fanywa na Hayati Magufuli, ni kukosa ueledi wa uongozi, bila kujua Mpango wa...
0 Reactions
2 Replies
109 Views
Wanaokuacha kwenye mahusiano wengi walipanga hivyo hata kabla ya hilo kosa wamelotumia kama sababu Mara nyingi anayeachwa anakuwa na msongo wa mawazo na kujiona asiye faa kwenye hii Dunia na...
5 Reactions
10 Replies
217 Views
Naomba ladies mfunguke kuhusiana na hilo swali langu hapo juu. Asante
4 Reactions
86 Replies
1K Views
Hivi mshawahi kujiuliza unapita mahali mtu kafungua frem au duka hata hamna wateja unajiuliza huyu mtu huwa anaweza vipi kulipa kodi wakati hamna wateja? Hili swali najiulizaga sana, nimekuta...
5 Reactions
29 Replies
568 Views
Naitakia Simba Ushindi. nguvumoja . KIKOSI CHA AZAM KITAKACHOANZA KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA HT FT
7 Reactions
282 Replies
8K Views
Naomba ushauri, Mimi nikijana wa miaka 24, kipindi nipo kidato Cha nne nilijihusisha na mahusiano ya kimapenzi na mdada wa kidato Cha pili, hatukuweza kushiriki kitu chochote nilipojiunga na...
1 Reactions
3 Replies
75 Views
Ni Katika sherehe za miaka 60 ya Muungano Ngoja nifanye Mpango wa kuweka picha husika kutoka kwa Liberatus ukurasani X Mlale Unono 😄😄
2 Reactions
20 Replies
376 Views
Ni sehemu ndogo sana ya wapenzi wanaoishi mbalimbali ambao hudumu kwenye uhusiano wao kwa muda mrefu. Hiki kinaonekana kuwa ni kitendawili kigumu sana kwa wapenzi wengi kuvumiliana kwenye...
8 Reactions
96 Replies
845 Views
Mzuka, mashamsham na tamaa vyote viliyeyuka, baada ya kuona makalio yanaondolewa na kutundikwa juu kama inavyoonekana hapa chini. Nimejiuliza maswali mengi sana. Hivi ananionaje huyu dada mpk...
10 Reactions
35 Replies
734 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,108
Posts
49,508,086
Members
666,954
Latest member
Ngitejo
Back
Top Bottom