Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wataalam wa tech naomba elimu yenu kuhusu maeneo hayo Apps na Websites. Ukitaka kutengeneza apps unapaswa kupitia hatua zipi au kozi gani fupi? Hivyo hivyo kwa website unapaswa kupitia hatua...
0 Reactions
6 Replies
41 Views
A
Mimi ni mzazi na mhathirika wa haya yanayotokea, Shule ya Sekondari Longido iliyopo Wilaya ya Longido, Mkoa wa Arusha, shule ina Wanafunzi wengi sana kupita kiwango. Jumla ya Wanafunzi ni zaidi...
1 Reactions
4 Replies
114 Views
Bodi, Hiki kizazi chetu cha kiume kwa sasa kina shida sana. Why? 1. Kizazi kivivu kinachoamini katika mserereko kuliko kufanya kazi na mazoezi 2. Kizazi hiki kinaweza kuwa ndio kizazi...
0 Reactions
13 Replies
78 Views
Kipi kinafanya filamu iwe bora? Majibu ya swali hili hutegemea mtu na mtu. Wengi tutazungumza kuhusu storyline, casting, cinematography, background score (mfano, soundtracks), dialogue, message...
1 Reactions
11 Replies
165 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
Watumishi wa umma wengi sasa hivi wanafuatilia issue ya kikokotoo cha mafao yao ya baadaye. Hata hivyo wapo watumishi wa umma ambao wapo kimya kuhusu kikokotoo labda kwa kuwa miaka yao ya...
0 Reactions
17 Replies
307 Views
Kutokana na hali ya uchumi kuwa mgumu vijana wengi wameangukia kwenye unywaji wa pombe za bei rahisi zinazo lewesha haraka kama sungura,master, jogoo nk ukiwa mtumiaji wa hizi pombe huwezi...
5 Reactions
16 Replies
371 Views
Swali #1. Kati ya Mwanamke na Mwanaume nani ambaye husikia Utamu zaidi ya Mwenzake wakati wa Mbanduano Kitandani? Swali #2. Kati ya Yai na Kuku kipi kilitangulia Kuja / Kujitokeza? Nimeambiwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hivi ni kwanini jua linapochomoza na linapokaribia kuzama sio Kali sana kama linavyokuwa muda wa mchana? Wajuzi karibuni. Asante sana.
4 Reactions
37 Replies
551 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,967
Posts
49,502,223
Members
666,900
Latest member
Unyade wade
Back
Top Bottom