Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema miaka 60 ya Muungano Wenye KERO lukuki Inatosha
Lisu anasema SASA ni Wakati SAHIHI kwa Zanzibar kuwa na Mamlaka yake kamili Ndani ya...
Habaro wakuu
Nimefuata hatua zote za kupata passport mtandaoni ila natakiwa kuwasilisha karatasi form ila viambata vya cheti cha kuzaliwa sina, cheti cha kuzaliwa mzazi sina.
Je, naweza pata...
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa.
Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki.
Wapo...
Kutokana na mvua zinanyesha barabara ya kigoma-kibondo-busungu imemong'onyoka na inekuwa usumbufu na hatarishi kwa watumiaji wa barabara hiyo.
Mamlaka irekebishe barabara hii ili huduma iendelee...
Salaam, Shalom!!
Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe...
kuna hii fursa imejitomeza huko TAESA, nimeona nisiwe mchoyo ni waletee humu ili MADEREVA wenye vigezo mkajaribu bahati yenu hii fursa bwana ni mkataba wa mwaka mmoja.
kama upo Dar es salaam...
Serikali itaondoa tozo ya asilimia sita ya kulinda thamani ya fedha katika urejeshaji wa mkopo kuanzia 1 Julai 2021, iliyokuwa inatozwa kwa wanufaika wa Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu, ikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.