Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Siku hizi hakuna kupoteza muda unatongoza saa 12 jion saa 2 usiku unapiga au hutongozi kabisa unashika tu kiufupi wamekuwa Maharage ya mbeya..
5 Reactions
10 Replies
147 Views
TP Mazembe wakiwa Ugenini wamejikuta wakipokea Kipigo Cha Magoli matatu Kwa bila dhidi ya Al ahly na kutolewa hatua ya nusu Fainali Ya michuano ya klabu Bingwa barani Afrika. Katika mchezo Wa...
1 Reactions
18 Replies
547 Views
Na nakuomba kabla ya Kuja Kuhara hapa kwa huu Ukweli niliousema tuliza Akili zako zote na zilinganishe Picha zao sawa? Nimemaliza.
5 Reactions
52 Replies
1K Views
Nimeangalia clip ikionyesha boda boda wakilalamika kuhusu kukosa msaada muda mrefu kwa majeruhi ambaye ni mpiga picha wa office ya millard ayo. Je amejifunza nini kama nchi yake inaweza...
2 Reactions
15 Replies
496 Views
Hivi kweli Currently hakuna Nchi ya kuitwa Tanganyika? Wajuzi wa Mambo naomba mtuambie hii imekaaje..... Natanguliza shukrani
1 Reactions
12 Replies
85 Views
  • Poll
Tanzania imeshapitia Awamu sita kama sio tano za Marais tofauti tofauti. Je ni Rais Gani aliependwa kuliko wote Tanzania?
24 Reactions
884 Replies
34K Views
Awali ya yote wanakidoni Binafsi Huwa hatupendi kushabikia jambo bila kujuwa nyuma ya pazia Kuna Nini? Siku zote ukiona mtu wa operation ana expose ile operation basi ktk jicho lakijasusi maswali...
0 Reactions
1 Replies
10 Views
Anasema kocha wa BAYERN MUNICH, Thomas Tuchel "Nmeiangalia Real. Madrid na wachambuz wangu. Ukiyachunguza sana magoli Yao au nafasi zao, na ukarejesha sekunde 10 nyuma, Huwezi kuona Kama wanakuja...
0 Reactions
4 Replies
5 Views
Naomba kuuliza juu ya Tangazo hili kama ni la kweli, maana linasambaa sana. [emoji120]
10 Reactions
219 Replies
9K Views
Naitakia Simba Ushindi. nguvumoja .
5 Reactions
38 Replies
990 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,020
Posts
49,504,058
Members
666,926
Latest member
Maxnnko
Back
Top Bottom