Mimi ni kijana nina miaka 37, nimeoa ndoa yangu ina miaka 12 sasa, kuna kipindi nilipata mwanamke mwingine, niliondoka na kwenda kuishi naye, kweli nilimuacha mke wangu na watoto wawili na sikuwa...
Kuna muda nilikaa na wafanyakazi wenzangu tukaulizana hivi ni nani kati yetu anamiliki gari kali kama G-wagon na AudiRs7 kupitia ujira ule ule unaotokana na kazi yetu jibu likawa hakuna...
Ref;-Natafuta mke mkristo,
Ila akiwa msabato na awe anaishi dar es salaam itakuwa poa zaidi.
Awe mwalimu au nurse au kazi yoyote ya serikali,asiwe muhaya au mjita.
Awe na miaka 22-33 asiwe na...
LISSU ni mwanasiasa muongo, mfitini na mbaguzi kuwahi kutokea katika Taifa hili,
Watanzania lazima muelewe vizuri hulka ya huyu ndugu yetu ambae wengi tunaamini baada ya ile ajali kwa sasa...
Kama unatumia sana youtube utakuwa umekutana na matangazo ya mikopo mtandao.
Mimi sikuwa nayazingatia mpaka yakaanza kuwa ya ajabu ajabu kama hivi;
Basi nikaamua kufuatilia kidogo, nikatafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.