Kuna project nafuatilia nilikuwa nataka kujua watu wa Arusha km mngenisaidia retailer ambaye anahusika na izi Organic Black Kidney beans kwa wingi sana nijue.
Natoa heshima zangu kwa wote waliopo katika jukwaa hili la JamiiForums. Kwa miaka mingi nimejikuta nikipata maarifa na ujuzi wa kutosha kupitia jukwaa hili (Jforums).
Nimefanikiwa kupata maarifa...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Mambo wanajamii; nahitaji Macbook air 2020 13 inch covers zenye rangi rangi au picha kama hii sio zile plain za rangi moja kama Red cjui Blue au white nataka picha picha kama hizi pamoja na...
Salaam, Shalom!!
Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe...
Marekani yasema kuwa imekubaliana na Ukraine kuondoka vifaru vyake vya Abram kwenye uwanja wa vita na Urusi huko Ukraine.
Uamuzi huo wa kuondoka vifaru hivyo vinavyodaiwa kuwa ni namba moja kwa...
Mabasi mengi ya kwenda Mikoani huwa yanafungulia nyimbo za Injili kwanzia mwanzo hata mpaka mwisho wa safari.
Kitendo cha kufungulia nyimbo za Injili sio jambo baya lakini mara nyingi nyimbo hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.