Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari za uhakika ni kwamba yule Kocha aliyefeli vibaya simba kuliko makocha wote ameomba kuondoka simba ifikapo mwisho wa msimu. Sababu ni kwamba Simba hawampi thamani pia haoni mipango yoyote...
8 Reactions
52 Replies
1K Views
Mimi ni mwanaume nimeoa, ndoa ina miaka mitano sasa. Mke wangu amebadilika sana, amekua ni mtu wa kila siku usiku yeye analalamika tu amechoka, na akiingia kitandani ni skeunde 10 tu amelala. Kuna...
62 Reactions
243 Replies
12K Views
Sasa tutaendelea kuwaletea taarifa za Watuhumiwa hawa kila baada ya muda mfupi , maana wanahamishwa hapa na pale kama Adamoo , Mbinu za Polisi wa Tanzania ni zilezile tangu mkoloni
5 Reactions
60 Replies
2K Views
Mwaka 1991 wakati USSR inavunjika mataifa kadhaa yaliyokuwa yanaunda umoja huo yalikuwa yanamiliki silaha za nyuklia na makombora ya masafa marefu. Ukraine lilikuwa ni taifa mojawapo lililokuwa...
15 Reactions
85 Replies
2K Views
Rais Samia amesema amefurahi kuona kikosi cha Bendera katika gwaride la Muungano kikiwa na askari wa kike Rais Samia amesema huo ni Mwanzo na msije shangaa 2030 tukawa na CDF Mwanamke Source: TBC
9 Reactions
88 Replies
2K Views
Nimepita mtandaoni huko nimekuta hili shirika limeweka tangazo kwamba kutakuwa na maboresho leo usiku kuanzia saa 6 mpaka tarehe 28. Maboresho hayo yatahusisha T-PESA, data(mliofunga faiba...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nimeona taarifa ya Habari, Al Jazeera,wameandika watu wamepoteza maisha nchini,takribani 155. Sijasikia hizi taarifa Kwa vyombo vyetu vya ndani,hata hapa jukwani,sijaona tatizo Hilo kupewa...
1 Reactions
4 Replies
138 Views
Ni kipindi kirefu kimepita nikiwa nimekwama kuamua yupi ni mahiri zaidi kwenye uandishi wa nyimbo za dini kati ya Bahati Bukuku na Rose Mhando. Kwanza, Hawa wamama wana uwezo wa ajabu katika...
2 Reactions
20 Replies
200 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,877
Posts
49,498,246
Members
666,861
Latest member
Mr Ntinginya
Back
Top Bottom