Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
913 Reactions
1M Replies
37M Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
118 Reactions
502K Replies
27M Views
Wamekufa viongozi wengi wa nchi hii, lakini wakati wote Magufuli anaonekana kuongelewa kila mara na kila sehemu. Wengine wanasema angekuwepo tungekuwa nchi ya ahadi kwa sasa, wengine wanasema...
28 Reactions
151 Replies
3K Views
Kadri siku zinavyoenda wembamba wangu unazidi kunipa stress nilifikiri nikiwa mbaba nitaongezeka mwili ila imekuwa kinyume kadri siku zinavyoenda ndio nazidi kupungua. kila nikikutana na mtu...
23 Reactions
94 Replies
2K Views
Hii nchi mpaka tufikie mwaka 2030, tutakuwa tumeona mengi kwa kweli. Kijana mmoja ameipamia bodaboda kwa mbele alipokuwa kwenye harakati ya kumkimbiza mdudu wake aliyemponyoka kwa bahati mbaya...
2 Reactions
3 Replies
87 Views
Kuna kiwanda kiko Pale Keko karibu na ukumbi wa DDC nadhani ni cha cello. Malipo kwa siku ni sh. 3500 kwa siku ilikuwa kwa muda mrefu. Sasa ni sh. 4000, kazi masaa 12 yaani lisaa limoja sh. Mia...
77 Reactions
245 Replies
7K Views
Sakata la mchele wenye virutubisho kutoka Marekani limeendelea kuchukua sura mpya baada ya waislamu kuukataa bila kumumunya maneno. Wakiongea kupitia redio ya kiislamu ya Imaan FM inayounguruma...
8 Reactions
64 Replies
956 Views
Je ni busara kutumia handle ya wizara ya afya kutoa ujumbbe wa kidini? WAZAZI NA WALEZI WASIMAMIENI WATOTO KUSOMA DINI Na. WAF - Dar Es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewaasa wazazi...
8 Reactions
76 Replies
2K Views
Nimesikiliza kwa umakini juu ya maoni ya Mwanamziki wetu nguli Diamond Plutinum Kuwa Mama Samia Atambuliwe kama Mama wa Taifa la Tanzania. Baadhi ya Sababu alizotoa ni hizi zifuatazo; 1. Ni...
4 Reactions
24 Replies
574 Views
Trapped in Oman - BBC Africa Eye documentary https://m.youtube.com/watch?v=fJTh4Gdn_B8 BBC Africa Eye investigates the plight of Malawian women lured to Oman with offers of domestic work, only to...
4 Reactions
56 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,837,679
Posts
49,110,964
Members
662,972
Latest member
Jerry huxkey
Back
Top Bottom