Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nilileta uzi huu last month nikiwa kwenye lindi kubwa la mawazo baada ya kusex na mwanamke aliyeathirika...
11 Reactions
64 Replies
5K Views
Jeshi la Polisi limewakamata Watu Wawili waliomdhalilisha Waziri wa zamani wa Miundombinu Dr Shukuru Kawambwa Aidha Jeshi la Polisi limemtaka mtu aliyerekodi tukio la udhalilishaji huo na...
4 Reactions
32 Replies
1K Views
Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith. Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno...
87 Reactions
244 Replies
7K Views
Wadau hamjamboni nyote Mungu amlaze mahala pema peponi mpiga picha na sajenti rose nyawira wa Jeshi la Kenya aliyefariki kwa ajali majuzi. Mwendazake alikuwa mpiga picha wa mwendazake CDF Kenya
9 Reactions
25 Replies
994 Views
Wakuu mko poa lakini, Turuke moja kwa moja kwenye mada Ebanaee huyu manzi wa kuitwa Angel nimefahamiana nae miezi 5 kabla, kama zari tulianza kuwa kama marafiki tu wa kawaida. Taratibu tukaanza...
4 Reactions
28 Replies
747 Views
Juzi Rais alialika wasanii (chawa?) wakajumuike nae Ikulu kwa ajili ya kupata futari ya mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao ndio ilikua chungu cha kwanza, jambo jema! Baada ya hapo taharuki kuu...
11 Reactions
197 Replies
13K Views
Nimefuatilia Msiba wa huyu Jamaa, Mtangazaji wa Clouds aliyetutoka juzi na kuagwa leo Leaders Club, Leo ndio nimewajua wabongo wanaojiita watu maarufu, yaani kichefuchefu kuliko kichefuchefu cha...
12 Reactions
69 Replies
6K Views
Muungano OYEEE!! Wakuu! Kumekuwa na wimbi la wanaoitwa wataalamu wa afya na lishe kukosoa karibia kila aina za vyakula tunavyotumia kila siku. Utasikia ugali ni chakula hatari sana kwa afya...
1 Reactions
29 Replies
370 Views
Mwenye kufahamu lodge nzuri tulivu za bei chee magomeni had mabibo anipe msaada 😁😁😁
0 Reactions
0 Replies
28 Views
Kwa mimi binafsi naona 1. Nikki Mbishi wa Tamaduni Muzik 2. Leonardo wa Cheka Tu Wote ni wasomi wenye taaluma zao ambazo, zinahitajika kichwa Cha hesabu Nikki ana degree ya computer science huku...
12 Reactions
97 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,932
Posts
49,500,519
Members
666,887
Latest member
abdallah kheri
Back
Top Bottom