Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari. Africa tumekuwa kwenye kiza kisichojulikana kwa miongo kadhaa,wachongaji wengi utasikia wakisema msiabudu mizimu ya mababu zenu,mara mizimu inaleta nuksi,mara watu wamefungwa na mizimu ya...
5 Reactions
21 Replies
162 Views
Ajali imetokea jana usiku mida ya saa 8 nadhani, boda boda wa mbezi wamefika eneo la tukio wanawapigia simu polisi kuwapa maelezo ya tukio ili wafike kwa wakati lakini ajabu jibu walilotoa askari...
3 Reactions
65 Replies
2K Views
Salaam, Shalom. Miaka ya 90 kurudi nyuma, yalikuwepo majiko ya umeme katika nyumba nyingi za watumishi wa umma, mapolisi, mahakimu, bankers, watoza ushauri, matajiri nk nk. Matumizi ya majiko ya...
6 Reactions
19 Replies
271 Views
  • Poll
Tanzania imeshapitia Awamu sita kama sio tano za Marais tofauti tofauti. Je ni Rais Gani aliependwa kuliko wote Tanzania?
24 Reactions
819 Replies
33K Views
Ujumbe wao huu hapa Pia soma!
1 Reactions
5 Replies
256 Views
Madaktari na watu wa afya kwenye eneo la Gaza wameshughulika sana kufukua makaburi ya halaiki baada ya vikosi vya Israel kuondoka maeneo ya mahospital waliyokuwa wakiyakalia. Hali ni ya kutisha...
2 Reactions
41 Replies
755 Views
Ndugu zangu wana Jf habari zenu. Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
148 Reactions
12K Replies
4M Views
Mwaka 1991 wakati USSR inavunjika mataifa kadhaa yaliyokuwa yanaunda umoja huo yalikuwa yanamiliki silaha za nyuklia na makombora ya masafa marefu. Ukraine lilikuwa ni taifa mojawapo lililokuwa...
14 Reactions
75 Replies
2K Views
Alihudumu kama Waziri kwa vipindi vyote viwili vya JK kama Waziri wa Ujenzi kisha Elimu. Dkt. Shukuru Kawambwa ambaye baada ya kuwa Lecturer UDSM akagombea ubunge wa Bagamoyo. Kwenye clip...
25 Reactions
191 Replies
11K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,842
Posts
49,496,853
Members
666,844
Latest member
elly sijo
Back
Top Bottom