Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hapa ni baadhi 1. Mbege 2. Dengerua 3. Pingu (Pombe hii mama muuza hakupi hadi ahakikishe kwanza umevaa suruali au pajama ndefu hadi chini kwenye vifundo vya miguu. Hapa mteja lazima ufungwe...
1 Reactions
27 Replies
210 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
923 Reactions
1M Replies
40M Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
381K Replies
10M Views
Ni maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanzania Rais Samia awaongoza Marais wa Africa kwenye tukio hili muhimu Sana Sherehe ziko mubashara TBC Jumaa Mubarak 😄
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Alihudumu kama Waziri kwa vipindi vyote viwili vya JK kama Waziri wa Ujenzi kisha Elimu. Dkt. Shukuru Kawambwa ambaye baada ya kuwa Lecturer UDSM akagombea ubunge wa Bagamoyo. Kwenye clip...
20 Reactions
125 Replies
7K Views
Naam, watanganyika ndio wazenji halisi, siyo waunguja na wapemba kama inavyoaminika kwa wengi! Bendera ya iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Tanganyika Nasisitiza tena, watu wa Tanzania bara ndio...
5 Reactions
22 Replies
315 Views
Sisi watumishi akili zetu zimekubali kuongozwa na maandiko. Maandiko katika kutoka 21:10 inatoa list ya mahitaji ya muhimu kwa mke au mwanamke. 1: Chakula. 2: Mavazi. 3: Ngono. Kabla...
8 Reactions
32 Replies
345 Views
Ukitaka vichekesho bila gharama soma Taarifa za Polisi. Katika tukio la hivi karibuni la kupote na Kuuawa kijana Robert Mushi na kishà maiti yake kukutwa Mortuary ya hospitali ya rufaa ya Polisi...
3 Reactions
24 Replies
349 Views
Assalamualaikum Wana familia ya jf. Nina ishi mbeya mjini sehemu inaitwa Airport ya zamani. Natafuta mwanamke anayejitambua na mwenye uhitaji wa mume ili kujenga familia. Sifa zake Awe mwanamke...
19 Reactions
237 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,712
Posts
49,492,174
Members
666,800
Latest member
george izdor
Back
Top Bottom