Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Salamu Wakuu, Nimegundua Suala la uaminifu bado ni changamoto kubwa sana hapa nchini Hivi karibuni kumekuwa na malalamiko mengi ya watu kupatiwa fedha pungufu kila wakichukua hela kupitia kwa...
6 Reactions
82 Replies
2K Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
162K Replies
4M Views
Sijajua shida ni kabila au Nini, lakini Leo nimemchezeshea kichapo sio kidogo, Iko hivi: juzi nimerudi nikiwa nimehemea sikupokelewa nikakausha, Jana nimerudi nikiwa nimehemea nikapondewa vitu...
10 Reactions
32 Replies
647 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
382K Replies
10M Views
Naitakia Simba Ushindi. nguvumoja .
2 Reactions
12 Replies
104 Views
  • Poll
Tanzania imeshapitia Awamu sita kama sio tano za Marais tofauti tofauti. Je ni Rais Gani aliependwa kuliko wote Tanzania?
24 Reactions
861 Replies
34K Views
Nimesikitika Sana kwa mtu kutumia jina la Waziri Mkuu, Rais wa Zanzibar na cheo Cha jeshi JWTZ halafu anaogopwa. Huyu mtu Jenerali Mwamwega hayupo JWTZ na Wala hafanyi kazi Ikulu ya Zanzbar ila...
1 Reactions
7 Replies
46 Views
Nitandika Kwa kifupi najuwa mmu watu hawapendi magazeti. Wazungu unafki huu hawaiwezi, kuishi na mtu eti kisa mna watoto lakini upendo umekufa. Mi ni mtu wa society Kwa utafiti wangu wa miaka...
26 Reactions
240 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,936
Posts
49,500,838
Members
666,887
Latest member
abdallah kheri
Back
Top Bottom