Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakati Rais wa awamu ya tano hayati Magufuli akitangaza kwamba Tanzania inaenda kutekeleza mradi wa kufua umeme wa bwawa la mwl nyerere kwa gharama yoyote bila kuangalia makunyanzi ya mtu yoyote...
0 Reactions
3 Replies
52 Views
Niliamka saa kumi usiku baada ya kuona hizi wiki mbili naumwa Kila siku kichwa, nahara, kitambi chote kwishaaa mkanda nimetoboa matundu sita mpya mpaka sasa Nikaona kabisa huu ni ukimwi, kuchukua...
1 Reactions
18 Replies
116 Views
Wamekufa viongozi wengi wa nchi hii, lakini wakati wote Magufuli anaonekana kuongelewa kila mara na kila sehemu. Wengine wanasema angekuwepo tungekuwa nchi ya ahadi kwa sasa, wengine wanasema...
23 Reactions
124 Replies
3K Views
Kadri siku zinavyoenda wembamba wangu unazidi kunipa stress nilifikiri nikiwa mbaba nitaongezeka mwili ila imekuwa kinyume kadri siku zinavyoenda ndio nazidi kupungua. kila nikikutana na mtu...
18 Reactions
84 Replies
2K Views
Nimesoma Taarifa kutoka TBS ya kuridhia usambazaji wa mchele kutoka marekani na kusema eti mchele huo ni salama kwa walaji. Hivi huyu Mkurugenzi ana akili kichwani kweli? Ni mzalendo kweli...
17 Reactions
263 Replies
5K Views
Mapdri jijini Mwanza kwa umoja wao wametangaza kuwa tarehe 23/3/2024 kwenye viwanja vya kawekamo litafanyika azimisho kubwa la kumkumbuka aliyekuwa rais wa awamu ya tano ya nchi yetu, Hayati...
26 Reactions
108 Replies
4K Views
Tumesikia mipango ipo mbioni kuijumuisha timu ya Al Hilal ya Sudan katika ratiba ya NBC kuanzia msimu ujao. Kuna wakati niliwahi kuwaza hili jambo nilipoona wakati ule wanatanga tanga, nikataka...
17 Reactions
80 Replies
2K Views
Hello habari za majukumu. Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha kikatoliki Ruaha (RUCU) kilichopo Iringa. Kwasasa changamoto ambayo wanafunzi wengi tunaipotia ni ucheleweshwaji wa pesa za...
0 Reactions
9 Replies
133 Views
Katika maisha kila mtu anapenda starehe za hapa na pale mfano kutalii n.k Kuna starehe zinazoweza kukupa furaha ya kudumu lakini kuna nyinginezo zinaweza kukupa sonona ya milele ambapo makovu...
38 Reactions
403 Replies
20K Views
Tunaendelea na nyuzi zetu za mwezi wa 3, ambao ni mwezi wa Mungu. Ni wazi kila mwananchi anafahamu kuhusu kampeni za wazi kabisa za kutaka Rais wa awamu ya 5 Dkt John Magufuli aongezewe muda wa...
13 Reactions
72 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,837,650
Posts
49,109,612
Members
662,952
Latest member
benn31
Back
Top Bottom