Ndugu zangu, Nawasalimu.
Kwanza nianze moja kwa moja kwa kuorodhesha baadhi ya sifa za mtu asiye na hadhi ya kuwa kiongozi.
1. Hulazimisha Kukubalika na kila mtu.
2. Hana maono . Tatizo kubwa...
Ajira ngumu,
Kupoteza muda,
Kupoteza pesa ambayo kiuhalisia ungepata mtaji wa kuanzisha biashara.
Kuingia madeni yasio ya lazima, (mikopo)
Elimu haikidhi viwango vya mabadiliko ya kiuchumi na...
Baadhi ya matendo ya Jeshi la Polisi, yanawafanya wananchi wema, wenye hekima na uzalendo kwa Taifa lao, kujiuliza:
1) Jeshi la Polisi ni sehemu ya ujambazi na uharamia?
2) Au ndani ya Jeshi la...
Kumekuwa na sintofahamu kwa watumishi wa Halmashauri hii kulazimishwa kuhudhuria sherehe za Muungano zinazotajiwa kufanyika maeneo ya Kamsamba kuanzia tarehe 25/4/2024 na kilele chake ni tarehe...
After careful review, we have identified statistical distortions and flaws in the benchmarking metrics used ( Taaifa kwa Umma ya Gazeti la The CITIZEN Newspaper )
Yaani nyie Wenyewe Gzeti la THE...
Msumbiji: Mtanzania miongoni mwa watu 16 wanaotuhumiwa kuunga mkono ugaidi
Ofisi ya mwendesha mashtaka wa umma wa Msumbiji imemtaja mwanamke Mtanzania miongoni mwa watu 16 walioshitakiwa kwa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Mombasa.
Wakati bado kukiwa na taharuki kutokana na tukio la mauaji ya watu watano wakiwemo askari polisi watatu lilitokea jirani na Ubalozi wa Ufaransa jijini Dar es Salaam, nchini Kenya vyombo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.