Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Najua Nyinyi Wakristo huwa Mnaswali kwa Mungu mkipitisha sala hiyo kwa Yesu Kiristo kwa kuwa yeye anatekeleza jukumu la kuwa mpatanishi kati yenu na Mungu Mwenyezi; Je ni hivyo kweli mnavyotakiwa...
1 Reactions
37 Replies
423 Views
Tangu akiwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amekuwa akitatua shida za watu zinazohutaji fedha kirahisi Sana. Kuna wakati inaleta maswali, jee hizo fedha ni zake binafsi ama ni za...
7 Reactions
36 Replies
1K Views
Kila mnapojaribu kuwafuta Wayahudi, ndivyo wanazidi kuneemeka na kuitawala dunia, ifike mkubali kuishi nao kwa amani, dini inawadanganya, hamtaweza kufuta Wayahudi wapo kote. Haya huyu hapa...
2 Reactions
30 Replies
651 Views
Baba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo. Mzee anasema hivi wanaume wameisha...
20 Reactions
134 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa kutoka Chuo Kikuu cha Anga cha Korea (KAU) leo tarehe 03 Juni, 2024...
5 Reactions
109 Replies
1K Views
Yanga ya Gamondi ime-dominate kwa 98% kwenye kila takwimu nzuri 23|24 🇹🇿 𝗟𝗶𝗴𝗶 𝗸𝘂𝘂 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝗯𝗮𝗿𝗮 ◉ Champions - Yanga SC 🏆 ◉ Timu yenye kadi chache - Yanga SC ◉ Timu yenye on target nyingi -...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu anesema kimsingi viongozi wanaomiliki timu za mpira wanatakatisha Fedha Mnatakiwa mjiulize kuna nini huko kwenye mipira kama siyo kuyakatisha Fedha...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Mchungaji Msigwa ataongea na Waandishi wa habari Leo saa 5 00 asubuhi nyumbani kwake Kihesa - Iringa Yajayo yanafurahisha na tutawajuza kutokea hapa...
4 Reactions
34 Replies
706 Views
Inawezekana, kwa upande mmoja vitabu vitakatifu na mapokeo kama msingi mkuu wa mafundisho ya dini vimeibua maswali mengi kwa baadhi ya watu kuhusu Mungu. Na kwa upande mwingine, Ukana Mungu ambao...
11 Reactions
130 Replies
1K Views
Makampuni yanatumia vitu vidogo sana kutupiga hela, ukichukua simu ya 4g na 5g kwa internet ya tz download vitu kwa pamoja kwa mtandao mmoja utaona hazipishani Utakuta mtu simu kuwa na 5g anauza...
8 Reactions
82 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,733
Posts
49,784,656
Back
Top Bottom