Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

A
Hapa mtaani kuna mama mmoja anaitwa Mama Nancy amemuajiri mtoto ambaye kwa umri sina uhakika lakini nahisi ana umri wa miaka 9 au 10, ameajiriwa kama house girl. Kibaya zaidi Mama Nancy amekuwa...
8 Reactions
30 Replies
448 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views
A
Anonymous
Mimi ni Mwl. Kutoka Manspaa ya Moshi ambaye ni muhanga wa matukio machafu yanaofanywa na Kiongozi wa idara ya Elimu Ndugu NICHOLAUS NGONYANI. Nimeandika ujumbe huu kwa uchungu na masikitiko...
33 Reactions
198 Replies
15K Views
Pambano la Mwakinyo na bondia kutoka Ghana limeshindwa kufanyika kwa kuwa Rais wa WBO, Samir Captan hakuwepo uwanjani kuleta mkanda. Maelezo ya Hassan Mwakinyo ni kuwa jamaa hajalipwa hela za...
0 Reactions
8 Replies
243 Views
Waziri mkuu Mstaafu na mwenyekiti Mstaafu wa Chadema Kanda ya Mashariki amesema hakuna mtu mwingine anayeweza kuongoza nchi hii ya Tanzania zaidi ya Dr Samia Sumaye alikuwa anamueleza Katibu mkuu...
6 Reactions
53 Replies
727 Views
Habari zenu wakubwa! Ningependa tujadili swala la wafanyakazi wa ndani al maaruf house girls. Wengi wetu, hasa wenye ndoa zao na walio wafanyakazi binafsi au serikalini tumekuwa na hitaji kubwa...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
A
Mim ni mmoja wa wahanga katika kukopa mkopo katika taasisi ya fedha ya kukopesha inayoitwa Bayport Financial Service ambapo ni mwezi sasa toka nilipoomba mkopo mpaka rejesho la kwanza limefanyika...
0 Reactions
4 Replies
130 Views
Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM chama Dume amesema Serikali ya awamu ya 6 chini ya Mwanamama jasiri na profesa wa Siasa Samia S.Hassan ndio awamu pekee Iliyoongoza kumwaga na kumimina mabilioni...
0 Reactions
2 Replies
4 Views
UISLAMU UMEINGILIWA NA SERIKALI MASHEIKH WAJA JUU TANZANIA. https://www.youtube.com/watch?v=h4slOZAmDo4&ab_channel=SHALBAOnlineTV
0 Reactions
5 Replies
121 Views
As-salamu alaykum watanzania wote mliomakinika katika nyanja mbalimbali katika usukumaji wa gurudumu wa taifa hili. Leo nimeona nilete hili kwenu. Baada ya shule kufungwa, wazazi ilibidi...
0 Reactions
2 Replies
60 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,096
Posts
49,764,828
Back
Top Bottom