Iko hivi
nina marafiki wa kila aina tofauti tofauti, walevi na wasio walevi..mimi binafsi ni mywaji mzuri tu ila sio wa kubebwa.
Sasa siku kadhaa za nyuma hapo nilipata kachangamoto flani ka...
Ifuatayo ndiyo orodha ya mikoa 10 bora ambayo :
Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia
Upatikanaji wa chakula
Urahisi wa Usafiri
Elimu
Hali ya Hewa
Huduma za maji
Mitandao ya simu
Usalama...
Habari zenu wana jamvi!
Leo niko hapa ndugu zangu kwa ajili ya kuomba wenu ushauri ya kipi nifanye ili kuweza kukaa vyema kiuchumi.
Kisa changu kinaanzia hapa;
Tangu nilipoacha masomo yangu ya...
Mkurugenzi Mkuu wa Ubia kati ya Sekta binafsi na Serikali ya JMT Mhe David Kafulila akiwa kwenye kipindi Cha DAKIKA 45 kinachorusha katika runinga ya ITV ameuambia umma wa Watanzania mambo...
Hebu sikiliza hizi ngoma mbili kwenye Sabufa, music system au whatever yenye Base la haja..!!
1. Vile Nataka Demu Ft. Mabantu
2. Nyumbani Ft. Wanangu 99 & Baba levo.
Hoya P.Funk karudi...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemrejesha kwenye nafasi yake aliyekuwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii (NPHL), Dk Nyambura Moremi aliyesimamishwa kazi Mei 4, 2020 kupisha uchunguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.