Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Toka kuanza kwa vita ya Gaza Dunia imeshuhudia mtikisiko mkubwa unaotishia ustaarabu wa jamii za asili za mataifa ya magharibi ambao kimsingi unatokana na ushawishi wa ukiristo. Siku za karibuni...
-1 Reactions
29 Replies
417 Views
eti wakuu Tena wengine unakuta ni wa kawaida tu.
0 Reactions
2 Replies
92 Views
Habar za wakati huu wana jf,? Binafsi nimekua nikipata shida kidogo kuelewa nini tatzo hasa ninapoamua kununua na kula tikitimaji siku za karibuni,nakumbuka miaka ya nyuma ktk matunda yaliyokua...
1 Reactions
3 Replies
4 Views
Lete Laptop mbovu nikupe pesa, bei maelewano kutegemea... Ubovu... Aina ya Laptop.... Specification Nipo ilala - Dsm 0718290779
0 Reactions
2 Replies
26 Views
Habari jf team. Nimechoka na maisha ya upweke. Finally, nimeamua kufanya maamuzi magumu kwa mustakabali wa future yangu na familia ambayo Mungu atanibariki. Natafuta MWANAMKE ambaye anahitaji...
0 Reactions
9 Replies
11 Views
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini, pale Coco beach. Kipindi nasoma nna kama miaka 17 niliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo, usawa wa magoti...
85 Reactions
543 Replies
20K Views
Ninaishauri serikali imdhibiti sana Lisu kwa kauli zake anazotoa. Surely ule ni uhaini na anajaribu kusambaza chuki ya wazi wazi wanachi wamachukui Samia kama yeye na siyo rais. Chukueni hatua...
3 Reactions
102 Replies
2K Views
Habari members Nimetumia neno mwenda zake kumaanisha amefariki. Akili Leo imenikumbusha juu ya huyu rafiki yangu ambae ametangulia mbele ya haki akiwa mdogo saana miaka 32, ni huzuni sana lakina...
1 Reactions
1 Replies
28 Views
Ukiwa member wa makundi ya Whassap, ya kifamilia, ukoo, mliosoma wote primary, O-Level, High School, Chuo, Kazini, Mtaani Kuna mzigo mzito sana wa michango ya rambirambi inakungoja. Kila kundi...
3 Reactions
15 Replies
380 Views
Mimi sijaoa Ingawa naelekea huko. Uzi wangu ni kwa dhumuni la kujifunza, hasa kutoka kwa wenye ndoa. Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sana. Sasa jana kuna movie moja ya Ki-Nigeria...
23 Reactions
405 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,899
Posts
49,588,985
Back
Top Bottom