Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Siyo mzaha jamaa kwa biashara wako vzr sna Kuna mtaa naishi hapa dodoma Basi kulifunguliwa vi car wash Kama mbili tatu hv na baadae mchaga mmoja ambae Ni Dr wa Benjamin mkapa nae akaja kuanzisha...
4 Reactions
18 Replies
295 Views
Habari zenu wakuu, natumaini mko poa. Kabla sijaenda mbali ningependa wataalamu na wazoefu wa hili suala la dangu za utajiri je lipo? Kama lipo linafanya kazi? Kama linafanya kazi stakeholder na...
7 Reactions
102 Replies
2K Views
Katika vyama vya siasa vilivyo vingi Tanzania ikiwemo hata CCM yenyewe nivigumu kusikia kingozi au mwanachama akikosoa mwenendo wa chama au kiongozi wachama chake na asijikute katika wakati mgumu...
6 Reactions
15 Replies
395 Views
1. Wasomi wengi tuna Dharau kwa wale Wasiosoma 2. Wasomi wengi ni Wabaguzi hasa kwa wale Wasiosoma 3. Wasomi wengi tunadhani Kusoma sana ndiyo kuyapatia Maisha 4. Wasomi wengi tunaishi Maisha...
3 Reactions
15 Replies
268 Views
Habarini za Asubuhi wakuu humu ndani, bila shaka mmeamka poa na kwa wale ambao wanaumwa basi namuomba Mungu awaponye kwa uwezo wake Aamin ! Leo nimekuja na hii Biashara nzuri ya kuanzisha YouTube...
0 Reactions
1 Replies
20 Views
LISSU ni mwanasiasa muongo, mfitini na mbaguzi kuwahi kutokea katika Taifa hili, Watanzania lazima muelewe vizuri hulka ya huyu ndugu yetu ambae wengi tunaamini baada ya ile ajali kwa sasa...
6 Reactions
69 Replies
847 Views
Habari zenu wakuu. , Bila kusema mengi Modes huu Uzi ni WA tech sio wa matangazo madogo madogo Wala biashara ! Nahitaji google play console yule alie nayo au nazo ofa yangu ni laki tatu ! Ila...
0 Reactions
3 Replies
42 Views
Kwanza Kabisa Pascal Mayalla amekiri kwamba yeye ni Mkatoliki aliyetukuka Pili Father Kitima amekiri kufuatilia JF kila siku akipendelea zaidi Jukwaa la Siasa na lile la Elimu Father Kitima...
9 Reactions
38 Replies
1K Views
Wadada kuna ile time mkaka umemuelewa na unatamani awe boy wako ila ye hana habari na wewe mnafanyaje ili mkaka ajue kuwa unampenda?
8 Reactions
134 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,604
Posts
49,579,333
Members
668,075
Latest member
Bruno Nemes
Back
Top Bottom